Recent content by CJ7

  1. C

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro imezibwa

    Police wetu sijui hata niseme nini. Waweza sema hawakua na gari na bla bla kibao.
  2. C

    JamiiForums Tanzania President Kagame still my Hero

    Jamani linapokuja suala la nchi yetu tuwe wazalendo. Tuungane na tuweke tofauti zetu pembeni tuwe wamoja. Naipenda tanzania na nitaitetea kwa gharama yoyote.
  3. C

    JamiiForums Tanzania TV 1 (Viasat 1) majangaa

    Hapo kwa kipindi cha ushoga na usagaji mmenitisha. Ila itabidi niwe na star times niwacheki. Wataimprove tu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hodi wana JF.

    Ahsante lusungo
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hodi wana JF.

    Nilikua msomaji mzuri wa hili jukwaa nikaona ili nifaidi nijiunge kabisa. Hongereni sana kwa kazi nzuri.
Back
Top Bottom