Recent content by CityInfo

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fundi wa Hard Disk Anahitajika

    Sawa mkuu. Fundi mmoja hapa kitaa kasema issue ni PCB board channel ya umeme imeharibika. Nahitaji data chache muhimu zilizopo, hivyo kununua mpya sio solution ya hili tatizo. Kwa upande wa ndani zaidi kama vile Platter na Kale ka mshale ka kusoma data sidhani kama vina issue. asante sana mkuu
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fundi wa Hard Disk Anahitajika

    Kuna HDD ya Desktop computer imekataa kusoma a.k.a ipo kama imekufa vile hakuna signal yeyote Nimefanya troubleshooting za kawaida [badilisha cables, kuweka kwenye computer nyingine, kuweka kwenye external drive adapter, n.k] lakini ime fail. Baada ya kucheki ndani inaonekana PCB itakuwa na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

    Hiyo ni kitu basic sana, acha kuwa mtetezi wa vitu visivyo na tija, othwerwise unafaidika na hili kampuni. Nimesema nimefika counter bado ten minutes ndiyo ule muda wa check in before 40 minutes uwe umeisha. So delay ilikuwa pale pale counter katika interval ya wao kusoma documents za watu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

    "Non-show" haiwezi kuwa applied hapo mkuu, nilikuwepo airport na muda wa kuondoka ulikuwa bado. Infact wamekaa ki ubabe ubabe tuu, huwezi endesha ndege kienyeji enyeji vile.
  5. C

    JamiiForums Tanzania FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

    Nilishasoma rules, #7 , 10 na 11 kabla hata sijaanza kusafiri na hiyo ndege yao. Nimesema nilikuwepo pale airport na wakaniruhusu ku print na kuingia ndani immediately. Within ten minutes tuu ndiyo mtu wa check in akatosa.
  6. C

    JamiiForums Tanzania FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

    Kwa Wataalamu wa sheria, Tulinunua GO and RETURN ticket ya fastjet, leo tumefika airport wahusika waka zi print ticket zetu, then tukajipanga sehemu ya checkin, within ten minutes muhusika wa sehemu ya kuchek in akasema tumechelewa ku check in, hivyo tununue ticket mpya. Tuliporudi kwenye...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Welcome - The 2014 All Developers Summit (ADSum)

    Kazi nzuri. Hongera sana
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaa gani ili kufunga wirless internet kwenye kampuni yangu ?

    Option #1 : Lipia internet toka kwa kampuni lolote lile, then nitakupa kifaa unachoweka kwenye computer mojawapo yenye internet hiyo, halafu computer nyingine zitadaka wi-fi kutoka kifaa hicho. Option #2 : Lipia internet(ya cable) toka kampuni lolote lile e.g TTCL then nitakupa wireless router...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Windows 7

    Nimeanza ku download. Inahitaji activation key? Thanks.
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Windows 7

    Naomba mwenye windows 7 anisaidie
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada WINDOWS 8 PLEASE

    Windows7 nitumie tafadhali Antivirus pia Shukrani
Back
Top Bottom