Recent content by cityhunter

  1. C

    Lowassa akishindwa Uchaguzi Mkuu 2015, kuna watu watalia mara mbili

    Kwa uzi wa kijinga hivi bosi wako hatukupa buku 7 leo, Kajipange tena kisha urudi kivingine bila ya hvy utakufa njaa
  2. C

    ALIYESOMA DEGREE YA SCIENCE EDUCATION(CHEM na BIOS ) ANAWEZA KUSOMEA MEDICINE

    Bachelor nyengine ya miaka 5 yenye complication za kutosha Maisha ya kukariri kuwa utatoka kw kutumia udaktari ni shidaah Naamini hvy kwa sababu najua dhamira yako ni mshara mnono wa MD Na sio kuisadia jamii Njia za kutokea ktk maisha ni just fikiri nje ya boksi kam ulishindwa...
  3. C

    Jaji Lubuva: Tuhuma za Mbowe hazina ukweli

    Hii misukule bado ipo hadi leo Only tanzania
  4. C

    Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na St. Joseph University (undergraduate)

    Brizy una presha sana na chuo, sio muhimu/ lazima hy certificate ya conduct Ada ya muda wa kulipa utapewa taarifa chuoni
  5. C

    Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na St. Joseph University (undergraduate)

    Hata bila ya chochote unasajiliwa wahindi hawana shida
  6. C

    Bachelor of Science in Biology

    Sasa tz kuna viwanda vingapi? Tena si viwanda vya aina zote inahitaji mtu wa aina hy Uje hapa tunaamgalia kitu chenye wide application na fursa kubwa za ajira Kuanzisha kozi kwa chuo ni suala la jengine na upatikanaji wake ni suala lengine Usisome kitu ili nawe uitwe ina shahada
  7. C

    Bachelor of Science in Biology

    The same case Hizo kozi hazimuandawi mtaalamu yeyote ( proffesional)bali ni mwenye knowledge ya chemistry ambayo unaweza itumia viwandani Kwa nchi kama zetu kozi kama hy haina tija kbs Bora kozi kama Bsc.Microbiology Bsc. In biotechnology
  8. C

    Bachelor of Science in Biology

    Hawezi kuwa mwalimu Hii kozi application yake ni narrow sana Kama umesoma science kwani huombi koz kama Bsc ed Bpharm Bsc comp science Bsc architecture
  9. C

    Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Kwani nawe usi pm kama yy aliku pm acha ulimbukeni
  10. C

    Karibuni tuendelee kujuzana vyuo ambavyo tayari vimeshaachia majina, hapa ni list ya baadhi ya vyuo

    Sio chuo hata sekondari necta wanaweza wakaachia matokeo na walimu wasijue mpaka ya siku kadhaa
  11. C

    NEC: Hakuna sheria inayozuia matokeo ya Urais kubandikwa vituoni!

    Katika what matters is quality of our education not quantity Education globally is used as a tool of improving nation economy and effective utilization of available resource, je product ya elimu yetu ulioisifia ina reflect hayo? Let us be patriotic to our beloved coutry
  12. C

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Nilikuwa nafatilia as a guest kitambo sana Huna point kaka sijui kama hata shule ipo japo kidogo
  13. C

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Ww umekuwa mtumwa wa nani lizaboni Sijawahi ona ume comment cha maana ww lizaboni tangu nijiunge jf I wonder what is the problem with u
Back
Top Bottom