Recent content by CITY

  1. C

    Mkoa wa Mara unaendelea kuikomboa nchi yetu

    Ni kweli mkuu unajua tatizo la Watz wengi hawana elimu ya kuchambua mambo..mtu anapomaliza shule anajau ndo kaelimika Kama mtu anashindwa kutofautisha ukombozi wa kabila fulani kichief na kuuhusisha na ukombozi wa nchi huyo mtu ndo hawezi kuisaidia hii nchi kuleta maendeleo hata akipewa uongozi...
  2. C

    Mkoa wa Mara unaendelea kuikomboa nchi yetu

    Mwaka 1961 Mwl Nyerere aliongoza mapambano ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa wakoloni, alionyesha umahili wa kizanaki kwa kuwaonyesha Watanzania kuwa wanaweza kuwa huru na hatimaye nchi ikakombolewa kutoka kwa wakoloni wa kizungu. Mwl Nyerere ni chimbuko la Mkoa wa Mara kabila la...
  3. C

    Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Suala la katiba halitakiwi kufanywa kisiasa kama akili yako inavyokudanganya...katiba kwa asilimia kubwa inatakiwa ifuate sheria na mariddiano ya kisiasa na siyo vyama vya siasa kuchuana,,,na hapa ndo watz tunaonekana hatuna elimu hata ya kichambua mambo, Warioba anachofanya ni kideplomasia na...
  4. C

    Ombi kwa UKAWA

    Ukawa wagombea wao kama wa3 wapo na wanamvuto ile mbaya kwa upande wa urais,,,ila kwakuwa ccm wana haraka na kutaka kujua ni nani atasimamishwa na ukawa ili wamjui na kaunza kupambana nae na hapo ndo wanajifanya eti ukawa hakuna mtu mwenye mvuto...ukawa wako kimya na wanajua ni nani...
  5. C

    CCM yatenga fedha kuwaonga wagombea wa UKAWA, yalenga Ubunge

    Kiukweli chama chetu kina hali mbaya sasa hivi duuuhh....mungu tusaidie hawa jamaa wagombane
  6. C

    Tanzania Mpya Hiyooo Inakaribia !

    Kwenda shule kuzuri, tutafika lakini kwa elimu yetu hi hii ndogo tuliyonayo
  7. C

    Soma hapa (contents) za Makubaliano (MOU) ya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi na NLD

    Dhahili ccm hawakupenda hili litokee na kila siku waliomba hili lisitokee hawa jamaa kuungana maana ni ishara ya kupotezwa kiutaeala
  8. C

    Soma hapa (contents) za Makubaliano (MOU) ya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi na NLD

    Akili yako ndo imefikia hapo na hauwezi waza zaidi ya hapo,, ha haaa mmeshikwa pabaya kipindi hiki
  9. C

    CUF + CHADEMA +NCCR + NLD = UKAWA. Watake wa sitake lazima wata gombana tu.

    Utasubili sana wagombane hadi utachoka maana furaha yako ni kuona wanagombana na hapo utatega sana masikio yako na macho hadi utaaga dunia jambo la kugombana halijatokea...te tee teeeeeeeee ukiwa na akili ndogo tabu sana
  10. C

    Soma hapa (contents) za Makubaliano (MOU) ya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi na NLD

    Ubunge wa Zitto Kabwe umefikia ukingoni maana kura za CHADEMA, CUF na NCCR zinatosha kumpa ushindi mgombea wa kigoma kaskazini toka UKAWA ha haa haaaa. Kaka yangu zitto umetumika vibaya na ccm na sasa unapotezwa kabisa kisiasa, wakati wenzako walikuwa wako makini kuwatetea wananchi wewe ulikuwa...
  11. C

    Soma hapa (contents) za Makubaliano (MOU) ya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi na NLD

    Ni nani atamzuia mgombea wa urais atakayepigiwa kura zote za ukawa ashindwe kushinda nafasi hiyo ya urais au ubunge ?
  12. C

    Ruzuku, Sheria za nchi vyaweka UKAWA njia panda katika Muungano wao.

    Hata UKAWA walishajua kuwa ruzuku ni pesa ndogo...maana wafuasi walionao UKAWA ni kama milion 6 wanaojitambua hata wakichangisha 1000 kila mkutano unaona zitapatikana bilion 6 bila kupinga sasa hiyo ruzuku ya milioni 300 kitu gani.....
  13. C

    Ruzuku, Sheria za nchi vyaweka UKAWA njia panda katika Muungano wao.

    UKAWA wametengewa bilion 6 na vyama vya ujerumani na Denmak sasa hiyo ruzuku ya 117milion za CUF na 200 milion za Chadema hata wakiamua kuzikataa haiwaathili maana ccm wanaona kigezo ni UKAWA kuhofia kuzikosa hizo...
  14. C

    Ufisadi wa bilion 450: Dili ya Treni mpya Airport kwenda Mjini

    Kama kweli wako serious kuanzisha treni ya kasi kwanini wasiiweke iwe inaenda Mwanza na Kigoma ili kurahisisha usafiri wa watu toka mikoani ili hali huko tayari kuna njia za reli. Au waweke pande nne zote za jiji la Dar nikimaanisha MJINI-PUGU, MJINI-MBAGALA, MJINI-TEGETA, MJINI-MBEZI MWISHO...
  15. C

    Kinana ameua kabisa upinzani

    ha haaaaa...hivi maigizo anayoyafanya Kinana unazani atawashika nani zaidi...Watz hawadanganywi kwa kujifanyisha wakati hakuna kitu....ACTION,,haya kinana anaanza kushika Jembe huku kamera zinapiga te teee teeeeeee...usanii huuu sasa hivi huwezi kuwashika watz kwa ujinga anaofanya kinana.
Back
Top Bottom