Unachoandika hivi Ni kama vile wewe na hao viongozi wako akili zenu zimetimia.
Wewe na hao viongozi wako hamna akili hata kidogo, hamuwezi kufanya jambo lolote la maana. Investors wite miaka yote wanawapiga kwa kila namna wanayopenda
Nakukumbusha tu uone mlivyo hamna akili.mwaka Jana mliwalipa...
Labda uamue kuwa mnafki. Lakini wewe ni mfuasi na shabiki wa hii serikali ambayo imefanya na inaendelea kufanya mauaji.
Ukiamua kukana na kubisha huo utakua ni unafki.
Nimekuambia pia ulichoandika kujibu kwa huyo malaria 2 nacho ni unafki sababu malaria 2 nae ni mfuasi wa hii serikali...
Huyo malaria nae hana tofauti na hao makafiri, kwa maana anapinga mauaji anayofanya Netanyahu huko gaza alafu anafurahia maauji ya hapa bongo yanayofanywa na samia
Hata wewe pia unapinga yanayofanywa na Netanyahu huko gaza alafu hapa bongo ni shabiki wa yanayofanywa na Samia
Uongo na uchawa ni ngumu kuvitenganisha? 2008 mafuta yalifika hadi $186 kwa pipa. Mwezi uliopita mafuta yalifika hadi $119 kwa pipa. Hii yako ya $102 kuwa ndio the most high umeitoa wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.