Recent content by City Hunter 1922

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    Kalale mbele Tundu! To hell na Sheria zako! Mkakati ZERO!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Lissu: 95% ya madini yetu yanaibiwa hapa nchini, Magufuli amekomaa na 5% sababu tu yanatoka nje

    Snitch... Karudi ulikotoka waambie harogeki
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lissu: 95% ya madini yetu yanaibiwa hapa nchini, Magufuli amekomaa na 5% sababu tu yanatoka nje

    Kojoa ukalale dogo! Hizi mechi huziwezi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Lissu: 95% ya madini yetu yanaibiwa hapa nchini, Magufuli amekomaa na 5% sababu tu yanatoka nje

    Yeye naye ni Mjinga na akili yake ni takataka ambayo haitamaliza hata dakika 10 kizimbani! Such a foolish fellow! Upeo wake umeishia hapo kwenye aliyoyasoma darasani? Hajui maabara, hajui chemical analysis, hajui kuwa hakuna kauli mbili kwenye Sayansi asilia, hajui microeconomics game theory...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Tumuulize Tundu Antipas Lissu.... Sayansi asilia anaijua?Test tube na furnace anazijua? Sampling anajua? Chemistry anajua? Chemical analysis anajua? Hizo Sheria alizokariri falsafa yake anajua? Kujitoa kwa Trump kwenye Paris Accord kutachukua muda gani? Sisi tungefuata mkakati wake wa kuanza kwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Sema wewe!Tukisema sisi wataalam wa Sayansi na game theory of microeconomics and strategies tutaambiwa we're rubbish! Stupid Lissu! Kusoma Sheria na Sheria sio majibu ya kila tatizo la nchi hii!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    Mapovuuuu....Sheria ni nini hasa? Doctrine ya Sheria ni nini? Kwa nini Lissu ana dharaudharau kwa watu wenye ujuzi alioukimbia au kuushindwa mwenyewe?HAJUI LAB PROCEDURES AKAE KIMYA. Mtadhani hili suala linahitaji WAZOEFU tu lakini ni UONGO! Wazoefu peke yao watatupeleka gizani... Wamezoea...
  8. C

    JamiiForums Tanzania It's good! Have a look at it!

    CamScanner | Turn your phone and tablet into scanner for intelligent document management.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Tell them mgomba101...Tell them all thieves to WATCH IT! Wameshatuvuna lakini NOT TO THAT EXTENT!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Magoliath ni waleeeeee...Sisi ni akina Daudi... Watoto wa Mungu wa Majeshi na Bwana wa vita
  11. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Majizi yataisoma namba na hatuogopi mtu... Tunalamba vichwa tu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Hawawezi kufanya uhuni this time... Watakachoangalia ni wananchi... Je,wananchi wanaunga mkono? Wananchi ndo kila kitu.... Maoni yao ya wazi na ya sirini ndiyo hutumika na hao wahuni wanaojiita viranja wa dunia kuingilia mambo yasiyowahusu
Back
Top Bottom