Recent content by Cipro

  1. C

    Mikopo ya benki inatumika kishirikina na hailipiki hadi wakufilisi

    Pia epuka kutoa rushwa kwa ajili ya kupata mkopo. Pia hakikisha unakopa kiwango kile tu unacho kihitaji kwa ajili ya biashara yako uliyo i plan
  2. C

    Mikopo ya benki inatumika kishirikina na hailipiki hadi wakufilisi

    Cha msingi ni kwamba unapokopa usiitegemee biashara hiyo mpya ndio irejeshe mkopo. Hakikisha una biashara au kipato kingine kitakacho weza kulipia marejesho ya mkopo huo. Hii itakuepusha na stress
  3. C

    Mkemia mkuu Tanzania: DNA yabaini 49% watoto sio wa baba halali

    hii takwimu haiwakilishi watanzania wote,ina wakilisha wale tu walio enda kupima. hii inamaana kuwa walioenda kupima tayari walisha hisi kua watoto sio wao,na wameenda maabara kupima ili kuhakikisha,yaani hata walipo kua wanaenda walikua na zaidi ya 50% kua watoto sio wao. ni sawa na...
  4. C

    Vichwa vya habari magazeti ya kesho

    magufuli aonyesha dharau na nyodo kwa waandishi wa habari
  5. C

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    sasa si ndio ameanza,na ameamua kuanzia trl na bandari?wewe ngoja siku ziende.kila idara na wizara ya govt ita pitiwa na fumua fumua itaendelea.
  6. C

    Mwanamikakati wa Lowassa ahusishwa na wizi mkubwa Stanbic

    Gaza and Israel hapo uki connect dots utaona lowasa naye akiwemo kwenye hiyo skendo ya hizi pesa, hebu fikiria mwana mkakati wake ana husika 100% mama senare (mama wa shose senare) alienda kwenye vyombo vya habari na kutangaza kua ana muunga mkono el na amehama ccm. kumbuka matumizi makubwa...
  7. C

    #WhatWouldMagufuliDo: Upepo wa Rais wa Bongo wavuma Ughaibuni

    mungu msaidie rais wetu magufuli.mpe ulinzi kutoka kwako,mpe afya na nguvu,muongezee kujiamini,speed,kufanya maamuzi magumu,mfanye aongoze kwa utaratibu huu huu kwa kipindi chote cha uongozi wake.amin
  8. C

    Ulaaniwe Daktari X uliyesabababisha mke wangu kupoteza ujauzito

    Ndugu yangu,hamna kesi hapo,achana na watu wanao kushauri kwa kuku jaza upepo. Sio kila kitu kijadiliwe kisiasa siasa au kwa kufwananisha scenarios,hii ni taaluma na ina wana taaluma wake. Pole sana kwa yalio kukuta.ila kila unapo pata na msiba au tatizo jua tu kwamba sisi wote ni wa mungu na...
  9. C

    Ulaaniwe Daktari X uliyesabababisha mke wangu kupoteza ujauzito

    Yawezekana 1.dawa ndio imesababisha mimba kutoka 2. Mimba ilikua na complication nyingine na uwepo wa coartem au kutokuwepo kwake hakuja sababisha itoke,ila coincidence tu,hii ni kutokana kwamba ni asilimia chache sana ya watu walio tumia coartem wkt wa ujauzito na wakapata miscariage. 3.doc...
  10. C

    Ulaaniwe Daktari X uliyesabababisha mke wangu kupoteza ujauzito

    Ndugu yangu muhanga wa tukio simtetei doc wako ila naomba upunguze laana ulizo mshushia huyo doc
  11. C

    Ulaaniwe Daktari X uliyesabababisha mke wangu kupoteza ujauzito

    It should be noted that a malaria infection is particularly dangerous and life-threatening in pregnant women. Malaria can also increase the risk for miscarriage and premature labor. Therefore, it is very important that a pregnant woman with malaria be treated. Coartem is not the only treatment...
  12. C

    Kama UKAWA hamumtambui Rais Magufuli, Mbona alipotangaza kuanza Bunge la 11 mmekimbilia Dodoma?

    Sio mara ya kwanza,hata 2005 walifanya hivyo,baadae wata mkubali tu wenyewe.baadae wataalikwa ikulu,bahati mbaya hamna juisi this tyme
  13. C

    Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli?

    Kama essential medicines ni taabu serikali kumudu , kuna dawa kama Rivaroxaban tabs 10mg elf 10 per tabs, 15 mg elf 13 na 20mg elf 15.5 per tabs , je watazimudu kununua na kuwekaa hosp watu wasitoke kununua nje? Anachotaka kufanya Maguful inabid uibadil nchi ya Tz kwa upatikanaji wa dawa...
  14. C

    Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli?

    umeongea ukweli mtupu. na hayo maduka yakifungwa ndio wana nchi watajua umuhim wake,kuna msemo unasema ,n'gombe hajui umuhi wa mkia mpk ukatike. serikali inge weka madawa ya kutosha na ya aina zote hosp na kwa bei nafuu hayo maduka yangekufa natural death,ila kama hamna dawa za kutosha,za...
  15. C

    Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli?

    wewe unajitambua,na unajua hali halisi,wenye akili watakuunga mkono,
Back
Top Bottom