Recent content by cicatrix

  1. C

    Tablet ya microsot windows inauzwa

    Na bado ipo katika hali nzuri.
  2. C

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mambo VP Ipo Micosoft tablet inataka 370,000/= Bado ipo katika hali nzuri Tuchekiane kama vipi (0777193767) - call, sms, whatsapp SPECS internal : 10 gb Memory card slot : yes Sim card slot : no Screen size : 7 inches OS : Windows 8.1
  3. C

    Tablet ya microsot windows inauzwa

    microsoft
  4. C

    Tablet ya microsot windows inauzwa

    Microsoft
  5. C

    Tablet ya microsot windows inauzwa

    HESHIMA KWA WOTE. Kuna tablet ya microsoft inatafuta mnunuzi.... Ipo katika ubora wa hali ya juu ingali ishatumika kidogo. Ina Internal ya 10 gb, Screen size: 7 inches HAI INGIZI LINE, Unaweza tumia kama computer kabisa (computer interface) Processor: 2GH OS: Windows 8.1 Memory card port: yes...
  6. C

    Nauza mkaa safi na mzito kwa bei nafuu

    ndugu, ujumbe umefika. Sasa Vp kuhusu swala ubora wake napata wapi.....maana ni muhimu kabla ya biashara
  7. C

    Msaada wa video extension

    yan kwenye control panel hamna kitu. pia muda wote nimekua natumia vlc.
  8. C

    Msaada wa video extension

    Salam zenu Ebhana nime download na ku install (media player codec for mkv) nikiwa na niya ya kuweza ku play videos zenye extension ya mkv lakin xaxa naona mambo yamezd ku vurugika. yaan ata zile videos zilizokua zinaonesha vzur japo kua sio mkv, xaxa nazo zna kwama kwama. ombi langu ni...
  9. C

    Shame on the Government and BoT as the shilling sinks to 1710!

    somebody must take action before the situation becomes nastier.
  10. C

    Msaada wa play station 2

    SWALAMA WADAU! Nina play station 2 ambayo inanisumbua sana maswala ya lense. inaharibika mara kwa mara na fundi anaenitengenezea naona haeleweki. Naomba nijuzwe kama kuna mtu anaemujua fundi mzuri. Na pia bei ku chip ili iweze kutumia flash(ma game ya kwenye flash)
  11. C

    Msaada wa kujua uhalisia wa simu

    habari zenu wadau?' je kuna yoyote anaejua "code" ambazo zinamsaidia mtu kujua kama simu ni original? Mfano, Nokia {*#0000#} Naomba msaada kwa zile simu nyingine, kwa anaejua...
  12. C

    Rav 4

    Picha tayari baba
  13. C

    Business partners are welcomed

    Nice thing, i hope you get partners for real partnership.
  14. C

    Black berry 9900 at 200,000tshs

    Salama wakuu, Black berry 9900, Bado ina hali nzuri kwa 200,000tshs Ni touch screen SPECS; touch screen double camera internal memory 8gb, extended memory upto 32gb Kwa mwenye shida, tuongee au ni text kwa 0762193767. Nipo dar es salaam. Kwa maelezo zaidi, angalia iyo link chini...
  15. C

    Rav 4

    Salama wakuu, Nina Rav 4 yangu, ya mwaka 1999 na ipo katika hali nzuri. Haina tatizo lolote Bei 10,000,000 shilingi. Kama unaitaji, unapenda tuongee biashara, 0762193767. Piga au tuma meseji. Nyote mnakaribishwa. Asanteni.
Back
Top Bottom