Recent content by chyleelee

  1. C

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Kwani ukimuamini utakua umeliongezea taifa sh ngap?
  2. C

    Mshikaji ameoa kahaba tuliekua tunamnunua wote

    Si kila anaefanya uchangudoa anafanya by choice?wengine ni hali ya maisha inawalazimu,na ndio maana wakipata mtu wa kuwaoa wanatulia vizuri tu?
  3. C

    Leo nimemfumania live bila chenga

    Umefanya vizuri kutokuanzisha varangati??kama ulishamuuliza kati yako na huyo mwingine na akashindwa cha kukujibu,jua tu huyo ni mchepukaji hata ukiridiana nae,chances za kurudia kosa bado ni kubwa maana uwezo wake wa kufanya maamuz ni mdogo sana?forgive him,forget him,n move on??
  4. C

    Alidai hahitaji msaada, atalea mtoto mwenyewe, sasa karudi kwa magoti

    Unajiona uko sawa kwa kumpotezea huyo dada lakini ujue anaepata shida ni mtoto?n judging from maelezo yako, una refer kwa huyo dada kama mtoto wake as if wewe si baba wa mtoto?u need to man up n take ur responsibilities as a father sio unatafta visingizio?hudumia mtoto!as a mother i know hakuna...
  5. C

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Huyo lowassa kama anataka sana urais si akagombee zanzibar??msituchoshe!!magufuli ndio rais wako,hutaki hama nchi
Back
Top Bottom