Sawa mwana-jf....kimsingi kama kijana na mwana jf nakupa big-up kwani umefanya la maana;lakini unawezaje kutumia fursa hiyo kwa kuwasaidia vijana wa kitz na hasa ktk kuwaonyesha fursa za huko na huku ukiwachaji kiasi kidogo....nayasema hayo kutokana na baadhi ya watanzania kuwa nakasumba ya...
WANA-Jamii....mfaham uhalisia wa siasa na wanasiasa Tanzania.Zifuatazo ni baadhi ya tabia za wanasiasa:
Kuwa wabinafsi
kuhimiza/na kupandikiza chuki miongoni mwa Jamii zetu
kupandikiza jazba miongoni mwa jamii.
Tabia za siasa nazo hizi hapa:
Kukushughulisha wewe mwananchi wa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.