chalii hii ni nchi yetu sote,tumsaidie mh Rais atusaidie.Ungewaona wazee hawa waliojaza malalamiko haya,usingesema hayo unayoyasema.Watu tumeibiwa hela zetu,wengine walisafiri kutoka usa river,babati mpaka manyara waliweka hela afu uansema kiki.Watanzania Mungu awasaidie.
Mh.Rais kwa heshima kubwa nakupa pongezi kwa namna unavyoliongoza taifa letu.Mimi ni mkopaji tangu mwaka 2014 katika kampuni hii changa ya umma iliyoaanzishwa mwaka 2013 nasikia ipo chini yawizara ya fedha.
Ninawakilisha wana kikundi 256 tuliopo hapa Ngarenaro Arusha na wenzetu wapo 104 Mbagala...
KUNA KITAASISI KINGINE KINAITWA UTT MICROFINANCE NASKIA MAKAO YAKE NI DAR ...NACHO NI JIPU,KINAGAWA TUU HELA MTAANI KWA WATU WA AJABU AJABU HADI WAUZA BANGI NA WAKUU WAKE KADHAA WAMEPIGA SANA DILI KUPITIA VIKAMPUNI VYA MITAANI NA VISACKOSI.WAMEANZA KUFUKUZANA NASIKIA .KUNA OMBWE KUBWA LA...
Namba 18.Nlikuwa nawafahamu hawa jamaa wote.Shaban kasoma primary Sinde...Dunda kwao ilikuwa Isanga na kwendi alikuwa Kwa mnyonge near hotel ya mfikemo....Nlinusurika at one point na kwendi(marehemu)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.