Recent content by Chuo cha Maji

  1. Chuo cha Maji

    Nafasi za Kozi za Muda Mfupi (Short Courses)

    Chuo cha Maji kinatangaza nafasi za Kozi za Muda Mfupi (Short Courses) mbalimbali zinazotolewa hapa Chuoni kwa mwaka wa Masomo 2017/2018. Kila course ina gharama yake na ina muda wake wa kusoma. Tafadhali pakua document yenye Majina ya Courses, muda wa kusoma na gharama zake. Form ya kujiunga...
  2. Chuo cha Maji

    Karibu Chuo cha Maji kwa Huduma Bora zaidi.

    Hivi karibuni yakitoka TCU kwaajili ya verification.
  3. Chuo cha Maji

    Karibu Chuo cha Maji kwa Huduma Bora zaidi.

    Hapana. Kwa sasa tuna program ya kutoa mkopo kwa wanafunzi wa certificate na diploma. Program ipo chini ya The Registrered Water Trustee Technician Fund.
  4. Chuo cha Maji

    Karibu Chuo cha Maji kwa Huduma Bora zaidi.

    Habari wana Jukwaa. Chuo cha Maji kinatoa huduma zifuataza katika sector ya maji na mazingira: · Utafiti wa maji ya ardhini (groundwater exploration). · Usimamizi na uchimbaji wa visima virefu vya maji (deep borehole drilling) kwa kushirikiana na Drilling and Dams Construction...
  5. Chuo cha Maji

    Batch ya 3 ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Diploma

    Kwa maksi ulizonitajia, hawezi kusoma Bachelor Degree ila ataweza kusoma Diploma kwa kutumia matokeo yake ya kidato cha nne. Kwa kidato cha nne awe na D tatu katika masomo ya Science (Physics, Chemistry, Biology, Geography, na Mathematics). NB: Asiwe na E au F ya Mathematics kwa course zote.
  6. Chuo cha Maji

    Batch ya 3 ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Diploma

    Tutaangalia ufahulu na idadi ya wanafunzi katika course unayotaka kuhamia. Kama haijafika limit na wewe unavigezo, utakubaliwa kwa barua.
  7. Chuo cha Maji

    Batch ya 3 ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Diploma

    Hii ni Provision Admission. NACTE wataenda kuverify kwa kuhakiki vigezo vya Chuo/Course na kuangalia ufahuru wa Mwanafunzi. Asante
  8. Chuo cha Maji

    Batch ya 3 ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Diploma

    Batch ya Tatu ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali (Provision Admission) katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka. Tafadhali tembelea website ya Chuo uweze kuona jina na course uliyochaguliwa au download PDF ilioambatanishwa hapa...
  9. Chuo cha Maji

    Nafasi za masomo katika chuo cha maji

    Habari. Kwa Math E itashindikana.
  10. Chuo cha Maji

    Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

    Habari. Batch ya 3 itatoka hivi karibuni. Jumanne. Ila kwa sasa unaweza inbox jina na namba yako ya form 4 nikuambie status ya Application yako
  11. Chuo cha Maji

    Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

    Habari. Sisi Batch ya pili imeshakamilika na itatoka next week jumanne. Unaweza inbox jina lako nikuambie status ya Application yako
  12. Chuo cha Maji

    Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

    Ume apply ngazi gani? Angalia katika hiyo PDF kuna namba za simu za Admission Officers. Unaweza kuwaulizia jumatatu. Ila next week itatoka Batch nyingine ya 3 kwa Diploma. Bachelor Degree hadi tupeleke TCU wakafanye uhakiki.
  13. Chuo cha Maji

    Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

    Umeshafanya Application? Kama bado tembelea website ya Chuo, download form, jaza afu ilete Chuoni. Au Ingia Website ya Chuo, kisha Online Application, kisha Start Application, ndio uendelee na taratibu za Application. Gharama za Application ni 10,000Tsh. Pole kwa usumbufu.
Back
Top Bottom