asante sana mkuu, na nikwel huyo wa mwanzo ameonyesha kumpenda sana na si yy tu had familia yake maana mama wa bf wa kwanza bado anampigia sim mpaka leo na kumsihi amsamehe mwanae
thanks, but kuhusu hiyo kaur ya mwisho amemaanisha kua atamtaarifu yule wa mwanzo kua yy ndie alie sababisha waachane ili na yule asimpende tena kisa amekataa kua muislam
Habari wana Jf?
Wapendwa, nina rafiki yangu anahitaji ushauri la kufanya na maamuzi ya kuchukua.
Yeye ni binti na alikuwa na boyfriend wake ambae walidumu nae takriban miaka mitatu. Wakati wapo katika hayo mahusiano huyu mtu wake alikuwa na tabia ya kum cheat mwenzie na akim baini anombwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.