Recent content by Chungurumbira

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje kupunguza wafanyakazi katika Balozi zake

    Aj Ajira ya mfanyakazi ni miaka sitini kama sikosei sasa wamekosa nini kukaa pale...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa ndege 6 ulipangwa bajeti ipi?

    Tunaishi kwa kutambiana....... I
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Na wewe unakubaliana na huo utumbo. Tatizo kubwa humu kuna Watoto wengi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Shida kubwa ni kuishi kwa hisia na kufanya maamuzi yatokanayo na hisia za watu. Benki zilizopokea pesa hizo zinajulikana na agency za serikali zilizokuwa zinaiba pesa hizi zipo. Ripoti ipi na ya nani imegundua nani na lini interest hizi zimeibwa.... Kuna watu humu hawajui chochote FDR...
  5. C

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar wamuandikia Magufuli

    CCM ni kama wanamkataba na Mungu kuwa kwa kipindi kifupi kijacho kiama kitafika!! Ni kundi la watu wasio na mtazamo kuwa Zanzibar na Bara viko hapa miaka mingi tu ijayo na kwa namna yoyote ile mambo yatabadilika tu!! Haijalishi ni leo au kesho! HIli la mwaka jana tu limekuwa mwiba mbaya na mkali...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ajitoa kwenye mazungumzo ya usuluhishi Zanzibar

    Hata mara ishirini maana kwa yale yaliyofanyika wakati wa bunge la katiba sina shaka kuwa wanaCCM wana mbingu yao tofauti na wengine!!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    JK na washirika wake wameyatanua mengi tu!! teremka tukaze zilikuwa nyingi!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Hilo labda linawezekana kwa shule za kata lakini siyo private schools ambako walimu wao wengine ni expert toka nchi nyingine na wanalipwa kwa makubaliano! Mimi ningependa kama pia huku kwenye ofisi binafsi kama nako watoe mishahara elekezi kwa ngazi zote otherwise ni kuua elimu ambayo kwenye...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Chakula cha kuku - dagaa toka Kanda ya Ziwa

    Wana JF kama unahitaji dagaa wa chakula cha kuku tuwasiliane 0713563074. Asante
  10. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli na usiginaji wa Katiba, ni makusudi ama?

    Tatizo pia ni kuwa Rais ndiye katengua mwenyewe na siyo muhusika ku-resign!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kama UKAWA hamumtambui Rais Magufuli, Mbona alipotangaza kuanza Bunge la 11 mmekimbilia Dodoma?

    YESU KRISTO hakuwahi kutetea uovu kama ule wa zanzibar!! labda yesu mwingine! watu wanaenda misikini na makanisani halafu wanatenda kama yale ya zanzibar na bado wanaitafuta mbingu ya haki!!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kama UKAWA hamumtambui Rais Magufuli, Mbona alipotangaza kuanza Bunge la 11 mmekimbilia Dodoma?

    HIli la kuchungwa kama ng'ombe unalikomalia sana kama vile linaimpact yoyote katika mijadala humu jamvini!! hawa Mods nao naona wameshindwa kazi! Unawahudhi watu wanaotoa michango yao juu ya nini kifanyike na CCM na Ukawa ili bunge liwe sehemu tulivu kwa maslahi ya watanganyika!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kama UKAWA hamumtambui Rais Magufuli, Mbona alipotangaza kuanza Bunge la 11 mmekimbilia Dodoma?

    Huyu umutajae hana sheria wala taratibu!!
  14. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Kama kunawatu waliojitoa ufahamu ni wanachama wa CCM na hili linaweza kutokea!!
  15. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Muhimili mmoja???? au umekosea!!???
Back
Top Bottom