Kwan mpaka Yesu anasuburubiwa si kulikuwa na utawala wa rumi, kwa iyo jamaa waliona political threat kama wakiendelea kumuacha jamaa anaendelea kukususanya watu kuona hivyo ilibid awe crucified
Na roman ambaye alitoa amri ya kumuua yesu na huyo huyo roman ambaye alikuja kuanzisha dini ya ukristo nae afanywe nini. kumbukA YESU alikua myahudi na pia alikua ana practice dini ya kiyahud, ila wa roma wakaja kumua kwa political reason tu then baada ya kufa, dini ya ukristo yan follower of...
wewe ni punguani kabisa hicho unachokifikilia wewe umekitolea wapi? yan huo mwaka hukuepo umesoma ktk vitabu vya uongo na kweli au ulimsikiliza huyo mpumbavu mwenzako, unaambiwa quran ilikua just modernized kutoka ktk old style kuja ktk printed way et unaanza kuleta pye pye zako. Ok, Bible yako...
YANI MWAMABA RAMADHANI UMEANZA KUIJUA HAPA MAJUZI HIVI UNAJUA MWAKA 2002 MPK 2006 RAMADHAN ILIKUA MIEZ YA 12 MPK MWEZ WA 10 NA IKASHUKA MPK KUFIKIA MWEZ WA 3 HAPO JUZ
Mfalme Fuad I alitaka Qur’an ichapishwe kwa njia ya kisasa kwa mara ya kwanza, kwa qira’at ya Hafs.
Qur’an nyingine hazikufutwa wala kuchomwa, bali hazikuchapishwa kama toleo rasmi.
Uamuzi huu ulilenga umoja wa kitaifa na urahisi wa elimu ya Qur’an.
Katika kipindi cha Mfalme Fuad I, hakukuwa na...
Qur’an ya Misri na zile za nchi nyingine za Afrika Kaskazini zinafanana kabisa katika aya na maana. Tofauti ndogo zipo tu kwenye mtindo wa kisomo na maandishi, na zote zinakubalika katika Uislamu
Ulikuepo mzee mwaka 1924 wewe mana hata nchi kama nchi tulikua hatujitambui wewe umepewa matango pori kama walivyopewa watu wengine tu. Yani unataka kubishana na kitu hata hukuwahi shuhudia kama kweli kilitokea kipindi hicho cha miaka ya GIZA. HIYO NI HISTORY NA INAWEZA KUWA MANIPULATED IN...
Chanzo cha Hadithi hii
Hadithi hii inawezekana inatokana na tukio la kihistoria linalohusiana na toleo la Qur’an la Cairo (Cairo Edition), lililochapishwa mnamo Julai 10, 1924, chini ya udhamini wa Mfalme Fuad I na usimamizi wa wataalamu wa Al-Azhar. Lengo la kuchapisha toleo hili lilikuwa ni...
Hakuna ushahidi wa kihistoria unaothibitisha kwamba Mfalme Fuad I wa Misri aliwahi kuchoma Quran zote na kuzitupa kwenye Mto Nile. Hii ni hadithi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, lakini haithibitishwi na historia ya kweli au vyanzo vya kuaminika vya kihistoria...
No, the Quran itself was not created in 1924 at Al-Azhar University. The Quran is the holy book of Islam, which Muslims believe was revealed to the Prophet Muhammad by Allah (God) over a period of around 23 years, starting in 610 CE and continuing until 632 CE.
However, in 1924, Al-Azhar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.