Recent content by chuki

  1. chuki

    Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

    Bahati mbaya anaeambiwa yuko Marekani anatalii huku akitangaza utalii. Bahati mbaya hata akikosea wanamsifu ameupiga mwingi.
  2. chuki

    Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

    Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale. Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza...
  3. chuki

    Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    Iliwahi kusemwa kuwa ni kheri Pinda akae kimya lakini akipanua mdomo unatapika, Ameanza sasa.
  4. chuki

    #COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Pole kiongozi, wanaokusema vibaya hawajui maana ya Corona.
  5. chuki

    Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    Mama Samia kuwa Makini na watu Hawa, Pinda na Kinana usiwasogeze kwenye Uongozi wa Chama, Taarifa kutoka Korido za Lumumba zinasema Ama Kinana ama Pinda kuwa Makamu Mwenyekiti, Jihadhari. Pinda ameanza kukuchokonoa ili upate pigo la kuonekana hutaki Tume Huru ya Uchaguzi. Kinana atakupiga na...
  6. chuki

    Kishindo kingine cha Rais Samia, tunasubiri jina la Waziri mpya wa Jinsia

    Bora ziunganishwe tu hakuna kazi zaidi ya kusoma magazeti. Kuongeza gharama bila sababu, Magufuli alikuwa sawa. Huyo Mama yenu akiondoka kurudi Zanzibar Rais mwenye Akili ataifuta tu na itabaki kuwa idara kama zamani, hatuwezi kukubali vitu vidogo vitumie gharama kubwa mpaka WIZARA, for what...
  7. chuki

    Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

    Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
  8. chuki

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Imfikie Mstaafu Jakaya Kikwete popote alipo, Salaam Baba habari ya MSOGA? Nakuletea salaam nyingi toka kwa Wananzengo, Pole sana kwa Msiba wa Rais MAGUFULI, Hakika hatutasahau kazi na historia yake katika Taifa letu. Ni wiki sasa Tangu tupate Msiba huu mkubwa kwa Taifa letu, wiki hii pia...
  9. chuki

    Kwa tunaomjua Bashiru Ali, tumebaki na butwaa

    Nina bia zako tano Hapa nimelipia kabisaa, umenikumbusha mbali sana.
  10. chuki

    Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    Rekodi ya Nusrat ni miujiza ya Hollywood
  11. chuki

    Uchaguzi 2020 Boniphace Mwita Getere Mikononi mwa TAKUKURU. Ni Mbunge anaemaliza muda wake Bunda Vijijini

    Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo. Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta...
  12. chuki

    Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    Huyu ni kati ya Wabunge vilaza ever, kazi yake ni kugawa Michele misibani na kulala Wanawake hasa Mabar maid. CCM ikimrudisha Boni Jimbo zima watachagua chadema kwa mara ya kwanza Tunatahadharisha sumu haionjwi.
Back
Top Bottom