KUWAAMINISHA WATANZANIA KUWA PESA ZIKIJAA MFUKONI NDIO MAENDELEO YA UCHUMI NI UPOTOSHAJI MKUBWA USIFUMBIWE MACHO.
NA
JUMA GEORGE CHIKAWE
Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu hali ya uchumi nchini na wachangiaji wengi wameonekana wakitumia kukosa pesa mifukoni kama kiashiria cha Uchumi...
Ndugu zangu watanzania kuna mpango mkubwa unaendelea ambao hauna nia njema na nchi yetu. Mpango huo umeitwa kwa jina la "Greater Again" na una malengo ya kuhakikisha mfumo dhalimu wa Kiliberali unarudi katika nafasi yake Nchini.
Mfumo huu ndio chungu ya kuporomoka kwa maadili ya viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.