Jifunze kumheshimu mtu hata kama humjui. Heshima ni kitu cha bure hakiuzwi dukani.
Papasi ni wewe mwenyewe. Nawe pia uone raha kuitwa papasi. Usipende kutukana watu ovyo ovyo, jifunze kuheshimu watu unaokutana nao, popote pale unapokwenda katika maisha yako, yoyote unayekutana naye awe mkubwa...
Mwlsamwel
I really like your Quotes they're good. Thanks very much for good Quotes.
Even I also have some English Quotes here: Look at the images below [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji117]Laiti kama watumiaji wa pombe wangejua madhara yake, wasinge kunywa kabisa hata mara moja. Lakini kwa kuwa hawajui ndio maana wana kunywa, na huenda labda wanajua madhara yake ila wanapuuzia.
[emoji117]Madhara ya pombe kwa muda mrefu ni mengi sana.
ANGALIZO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.