Recent content by chrlsstphn

  1. chrlsstphn

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za kupata mvi ukiwa na umri mdogo

    Ahahaah! uzee upo ila natafuta chanzo chake n nn haswa
  2. chrlsstphn

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za kupata mvi ukiwa na umri mdogo

    Habari ya wakati huu wanajamvi Naomba kujua chanzo cha kupata mvi kwa kijana (25-30 years) na pia jinsi gani ya kuondokana na tatizo hili Naomba kuwasilisha
  3. chrlsstphn

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History(DUCE). Natafuta nafasi ya kazi shule binafsi

    Nimehitimu toka mwezi wa sita, juzi nilikuwa nathibitishwa
  4. chrlsstphn

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History(DUCE). Natafuta nafasi ya kazi shule binafsi

    Habari ya jumapili wapendwa katika bwana...! Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History (DUCE) mwaka huu. Natafuta nafasi ya kazi shule yoyote binafsi/private, Tuition centers au hata makampuni binafsi. Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule Tanzania, ila kama kazi itapatikana...
  5. chrlsstphn

    JamiiForums Tanzania New comer

    Ahsante sana
  6. chrlsstphn

    JamiiForums Tanzania New comer

    Hi, rasmi I'm a member.....!
Back
Top Bottom