haya mkuu nimekuuelewa ukishadownload itafunguka halafu nenda kwenye search type whatsapp halafu itaonekana sema download hapo itaidownload whatsapp kwenye pc yako
habar wadau wa Jf ,jinsi ya kutumia whatsapp ,viber,instargram nk kwenye computer,unahitaji tu kuwa na kijisoftware kiitwacho "Bluestacks"ambacho unaweza kukidownload google ukishadownload ni PM kwa msaada zaidi.
wadau ni rahisi sana ku hack na kupata passwords za WIFI, unahitaji tu kudownload "WIFI password hack v2.01" nitawapatia site ya kudownload ambayo ni hackingprograms.net
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.