Recent content by Christopher Muleju

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa makada wote wa CCM wanaomkashifu Askofu Zakaria Kakobe na maneno yake

    Umeandika mantiki Tupu. Ila watu wa jinga Wenye njaa watabaki kusifia tu..........waangalie wanaojiita maprofesa wa siasa wanavyoshinda wanatumika TBC..........kweli hawajuhi Kuwa kupiga marufuku mikutano ya siasa ni ukiukwaji wa katiba? Kama hawajuhi basi elimu Tanzania imekufa.......Hawa ni...
  2. C

    JamiiForums Tanzania CCM wamemchukua Askofu Pengo, Mungu ametupa Dr. Munga, Niwemugizi na Dr. Shoo

    Kanisa katoliki linaelekea kupoteza hadhi yake............. Ukiona mpaka viongozi wa juu ni wanufaika wa kashfa kubwa za kifisadi unategemea nini? Mimi binafsi Kanisa limenikwaza ........Mimi ni mkatoliki.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Siku zote majuto ni mjukuu.......Wanaokumbuka maandishi yangu kwenye magazeti mbalimbali watakumbuka Kuwa niliionya CHADEMA Kuwa Chama ni ITIKADI.........umaarufu wa mtu hauwezi Kuwa mbadala wa itikadi.....ukishaweka pembeni misingi ya itikadi yako lazima utakosa agenda. Na hiki ndicho...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa mwafaka umefiki wa Nape kutubu madhambi yake aliyoyafanya kupitia Wizara aliyoitumikia

    Mimi Huwa napenda kuwakumbusha wana siasa Mara kwa Mara Kwamba waweke akiba ya maneno.... Pia waache kufanya kazi kwa sifa.....Majuto Huwa ni makubwa baadae.........Wakati Nasari anamnanga nyarandu aliwaza Kuwa hiko siku atakuwa naye Katika chama chake?.....Je Wakati wabunge wanachakachua...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Way forward 2018-2020

    Kweli mshana utawala umefitinika........kuna watanzania ambao hawawezi kumuazima mtu akili zao...........Kwani hela nani kasema ni kila kitu.,?!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nape na Zitto! Makinikeni, msonobari hauchorongwi

    Tatizo la watu Wengi ni kuongoza na Maslahi kuliko kuamini anachokiamini. Hili liwe funzo kwa watu Wengine. Nani alijua Kama Lowassa au sumaye wangekuwa upande mwingine?Nani angejua Kama kitilla mkumbo angefuata mkumbo? Wote waliohusika na kuchakachua mapendekezo ya katiba ili waweze...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Kesy ni jembe......ila upande aliko Huwa hawaoni ukweli!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu kama Makamu M/kiti BAVICHA na Hofu ya kuongozwa na akili ndogo

    Kwani CHADEMA wasipokidhi matarjio yako Kama mpinzani vyama vingine hakuna.?si muda wote ulikuwa unaipinga CCM ? Mbona umerudi huko? Vijana acheni kutumika...njaa yenu inawanyima heshima ambayo mungeipata Kama warithi wa siasa za Kesho
  9. C

    JamiiForums Tanzania Sababu za kutonunua Kazi za Wasanii waliojiunga na CCM

    Hawa wasanii wanasumbuliwa na njaa.. akilini watu Kama kundi wakapendezwa na sera siku moja. Hata hivyo wana ushawishi kiasi gani? Kweli tuwapuuze na hivyo vichekesho vyao ambavyo havituongezei chochote.....
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kubwa kwa CHADEMA

    Hii ni kweli.Mkakati uliopo, ni Kuzua migogoro dakika za mwisho ili iwe vigumu kurekebisha Hali...........
  11. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Mawazo mazuri sana. Nashauri pia lianzishwe dawati la kufuatilia maoni ya kwenye mtandao...Chama kipo kwa vijana hawa wanaojitolea muda wao kushauri haya!
Back
Top Bottom