Recent content by christopher benard

  1. christopher benard

    JamiiForums Tanzania Msaada wakubwa

    Wakubwa naomba msaada wenu sim yangu tecno n3 imejiloki inaonyesha nimechomeka earphone wakati sijaplug headphone nifanyaje?
  2. christopher benard

    JamiiForums Tanzania Tatizo wakubwa

    Nipo shy.
  3. christopher benard

    JamiiForums Tanzania Huawei u8185 rooting

    Naomba msaada wa kuroot huawei u8185 .
  4. christopher benard

    JamiiForums Tanzania Tatizo wakubwa

    Kila computer ninayo jalibu tatizo lilelile sio pc yangu tu. Na waya nimebadili.
  5. christopher benard

    JamiiForums Tanzania Tatizo wakubwa

    Nisaidien jaman kila nikiplug usb cable tatizo ni lilelile nimebadili waya pot bado inanipa ujumbe uleule hata kwenye pc nyingine. Yaani usb device not recognized.
  6. christopher benard

    JamiiForums Tanzania Tatizo wakubwa

    kaka nimefanya hinyo lakini haisomi kabisa hata kuinstall drivers haileti nisaidie mkubwa.
  7. christopher benard

    JamiiForums Tanzania Tatizo wakubwa

    Mimi natumia huawei u8185 ascend y100 lakini tatizo ni kwamba imegoma kusomeka kwenye pc kila nikijalibu kuplug kwa pc. Pc inasema usb device not recognized naomba msaada wenu ili niweze kuinstall hizo drivers. Ahsante.
Back
Top Bottom