Recent content by Christina samamba

  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mshumaa uendao kuzima

    Mshumaa uendao kuzima na kupelekea giza nene kwenye nchi yetu ya Tanzania,ni nani wa kuwasha mshumaa huu? Na je ni nani wa kuleta nuru mpya kwenye nchi? Na nini kifanyike kufanya mshumaa huu kung'ara tena na kuleta mwangaza tena kwenye nchi yetu. Uzalendo unaenda kupotea kwenye nchi yetu sawa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kamba ya mbali haifungi mzigo

    Asante
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kamba ya mbali haifungi mzigo

    Asante mkuu
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kamba ya mbali haifungi mzigo

    Siku zote wahenga husema kamba ya mbali haiwezi kufunga mzigo na fimbo ya mbali haiwezI kuua nyoka, Vijana wengi hasa wa wakulima na vijana wa maskini hupata shida sana katika utafutaji wa ajira. Utakuta wazazi wamepambana kumsomesha kijana wao kwa kuuza mazao shambani na wengine hata kuuza...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nalilia kizazi changu

    Nalia juu ya kizazi changu,nalilia kizazi changu,Nalilia kizazi cha taifa langu,hakuna mzazi afurahiaye kuharibika kwa binti au kijana wake wa kiume.Ulimwengu unapoenda hakuna ajuaye,Watoto wengi na vijana wengi wamekuwa wakiendeshwa na ulimwengu wa sasa. Nani apendaye kumuona kijana wake wa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuzuia maiti baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za matibabu

    Asante sana kuhusu kura usiwaze
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kwa maiti ya mtu baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitali

    Kweli kunahitajika uhamasishaji wa kutosha
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kwa maiti ya mtu baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitali

    Kunahitajika kuangaliwa upande huu Kwa jicho pana zaidi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kwa maiti ya mtu baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitali

    Ila Bado tatizo linaendelea licha ya makatazo yote hivyo inahitajika utatuzi wa jambo hili Kwa namna nyingine zaidi kama utekelezaji wa sera bora za afya .
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kwa maiti ya mtu baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitali

    Hili ni tatizo inahitajika sera nzuri za Afya kama sera ya sasa hivi ya bima jumuishi ambayo inasubiri utekelezaji
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kwa maiti ya mtu baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitali

    Yaani ingefaa zaidi liangaliwe hili swala ,maana hali za watanzania hazifanani kabisa,maana kuna wengine wanashindwa hata kupata milo mitatu Kwa siku Kwahiyo wakikumbana na tatizo hilo wanashindwa kumudu gharama hizo za matibabu mfano mwanafunzi lightness shirima anayesoma chuo cha serikali za...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilio cha Binti furaha kwa Walimwengu

    Asante sana
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilio cha Binti furaha kwa Walimwengu

    Asante sana mwanawane
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilio cha Binti furaha kwa Walimwengu

    Usonji ni tatizo la kinafsi na la kihisia linalowatokea watu wengi tangu utotoni na kuathiri uwezo wao wa kuwasiliana na watu wengine .kifupi watu wenye usonji hawana uwezo mnzuri katika swala zima la mawasiliano. Usonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni ambapo mtoto huwa na upungufu...
Back
Top Bottom