Ndugu yangu. hongera kwa uandishi wako mzuri. Shida ni Sera na fikra za viongozi wetu katika utendaji wa majukumu.hakika hatuna viongozi Bali tuna washika dora
Ndugu zangu kwanza nianze kwa kumshukuru mungu kwa kunipa afya. Lakini hasa kwa kunipa uwezo wa kufikiri juu ya Taifa langu.naleta hoja yangu kwenye jukwaa hili ili tuweze kufikiri pamoja.
Nitaanza kwa kuuliza NINI MAANA YA VIPAUMBELE KWENYE UTOAJI WA MIKOPO? JE MIKOPO NI ZAWADI KWA MAKUNDI...
fikra za viongozi wengi no FIKRA MGANDO watu tulip wapa dora ni watu wasio na upeo wa utatuzi wa kero za watu bali ni wa majigambo na watu wanaojaribu kuuaminisha umma kua ni bora kumbe sivyo.bado nchi inahitaji Uhuru wa mawazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.