nyigo Jn.
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 269
- 94
Nielewavyo mimi hizi ni taasisi mbili zinazofanya kazi kwa kutegemeana sasa napata wasiwasi juu ya utendaji wa hizi taasisi hivi hawa TCU zile course za arts hususani BaEd and Beds kuwekewa priority course then leo tuje kuambiwa ni non priority course hii kitu tuiite ni usanii au utapeli maana wadogo zetu ni kama vile wametapeliwa!
Haiwezekani muwambie course za ualimu ni priority then leo mje kukanusha na kuleta vigezo ambavyo awali havikuwepo huu ni usanii na utapeli mmewafanyia wadogo zetu
Niwesikia HESLB kesho dirisha la rufaa litafunguliwa tafsiri yake hakuna second wala third batch.
Via tunaisoma namba