Recent content by chrispin2008

  1. C

    Nani mvumilivu kati ya mwanaume na mwanamkeke?

    Nimeshuhudia kuona mara nyingi katika mahusiano Mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine, huwa mwenzi wake anaweza msamehe ila kwa sisi wanaume ukigundua mwanamke wako anauhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine ni fujo, wengine mangumi, visu na mbaya zaidi kama ni ndoa...
  2. C

    KUPIMA V.V.U kabla ya harusi ni lazima?

    Jamani mi nashindwa kufaham, mkitaka kuoana mnaambiwa eti lazima mpime,sasa nauliza je kupima ni hiari au cyo hiari?
  3. C

    Kwani lazima kuoana?

    Kuoa si lazima isipokua ni sheria za Dini
  4. C

    SURA Vs BODY

    Nawatakia heri ya Christmas na Furaha ya mwaka mpya
Back
Top Bottom