Recent content by chrismwawa

  1. C

    Msaada juu ya hili jamani

    unajua hata me binafs nashindwa namna ya kuhesabu ndo maana nikaileta humu. lkn kwenye chet inaonyesha n gpa ya 1.4 . na vip sasa kwa ufaulu huo wa masomo hawez kwenda advance?
  2. C

    Msaada juu ya hili jamani

    asante sana@ mr raza.
  3. C

    Msaada juu ya hili jamani

    gpa ni mfumo wa utoji wa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2014 ambao ulihusisha class zifuatazo: dinstiction =dvsion one. merit=dvision two. credit=divisio three na pass=division four. sasa kwa hayo matokeo tukisema ana gpa ya 1.4 =na ufaulu wa daraja la nne yaan pass kama nilivokwisha eleza...
  4. C

    Msaada juu ya hili jamani

    Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka 2014 na kupata gpa ya 1.4 na ufaulu katika masomo saba aliyofanya ni huu. Kisw B eng B geo B cvcs D bios E histor E math F na yeye ndoto zake ni kuwa mwalimu na kwa sasa kwenda ualimu ni kuanzia gpa ya 1.6 au division 3. Tusaidieni jamani kama...
  5. C

    Kusumbuliwa na tumbo

    nakushauri ni vema ukamuone daktari kwa vipimo zaid
Back
Top Bottom