Hahahaaa mababu na ma bibi zetu walikua wanaua pale mtoto anapozaliwa aribino au kilema na ndio maana zamani agharabu kusikia arubino kafa tulikua tunambiwa huwa wanapaa.mwafrica ujinga ulianza tangu zamani.fikiria kwa kina km mwafrica akiachwa mwenyewe bila kuongozwa sijui.jitu linazaa watoto...
Hakuna anae mbishia tunachosema tumesha chelewa wewe utampinga mzungu utaanzia wapi.mkeo akit@ka kujifungua shart apigwe sindano ya maji ya uchungu.sijui chanjo.kwa ujumla dunia ni ya tehama wewe mwafrica n@ mwarabu ni kuku tu hapa duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu akuuza watumwa bali alinunua watumwa toka kwa waarabu.na mzungu akutuvunja korodani km angefanya hivyo leo hii usingewasikia hakina tyson,R.kerry.michael jackson ext.waliotuvunja korodani unawajua na misaada yao mikubwa ni kutuletea tende na harua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla tutake tusitake jamaa wapo juu sana.ni kwa neema ya sir god tu tunapata kuishi lakini si kwa kaujanja ka polini uwakwepe hawa jamaa.washa tutawala kiakili na kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo jamaa anajua nchi ya isirael ina watu wasiozidi hata milioni 15 na tanzania tupo km sikosei zaidi ya milioni 50 je tunawazidi nini isirael kimaendeleo hata kielimu.ahache ujinga.utawakwepa vipi na wakati unakunywa coca,peps na kumeza panadol kila kukicha je kemikali za bidhaa hizo...
Kiongozi wetu akurupuki kwa kufuata miemko ya watu kwanza anayajua hayo makontena tatizo lake kuriko hata nyie.najua wengi ni waumini wa yule jamaa mchungaji kwa hili la makontena mkaona hapa pa kupoza hasira zenu.raisi aongozwi na
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ubaya gani makonda kumiliki hotel.alie mwajiri yupo na anavyombo vys kufuatilia sisi yanatuhusu nini.mbona yeye gwajima anaukwasi wa kufa mtu kwa kuwabana watu masikini watoao sadaka kanisani kwake.sisi mbona hatusemi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani amepewa uwezo wa kumjaribu kila mtu mbk watumishi wa mungu.kwani ujasikia mtumishi wa mungu mzinzi au sherkh kabaka.acha police ifanye kazi ukweli ujulikane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijitu mingine bwana jitu linawaza siasa tu kila wakati.sasa huyo mtu umwitae jiwe unataka ahache tu hili baba zako na wajomba wako wajichotee tu mihela ya nchi hii km walivyokua wakimpiga mkwere au vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nampa pole huyo jamaa mwenye mwanafunzi hapo.kwani shule nyingine hakuziona.hivi kuna shule ya isilamic secondary ipo vizuri kielimu kiasi cha kutiliwa mfano??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauli mzuli huo ambao hata mbowe na lisu hawataweza kumpa.ahache undezi hivi SADCC hawana akili kumpa heshima hio jpm hila yy ndio yupo blight
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yako ya kijinga usitake watu wote humu jf tukubaliane na wewe.hivi tanzania haina demokrasi ukifananisha na rwanda ya kagame.museven n@ hata huko zimbabwe huvi hizo nchi zina uhuru wa kuongea ukifananisha na tanzania hadi povu likutoke???
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.