Recent content by chrisbleez

  1. chrisbleez

    Ushauri: Nimeombwa nikatoe ushahidi wa uongo mahakamani, niko njia panda

    Mkuu sina utaalamu sana na mambo ya sheria lkn ninachokijua ni kwamba ni kosa kisheria kutoa ushahidi wa uwongo mahakamani hasa ikithibitika kuwa umesema using pia kumbuka pale mahakamani kuna msaafu na biblia ikiwa kama unaimani basi nafsi itakusuta
  2. chrisbleez

    Shoti Imetokea Kidatu, Umeme Umekatika DSM Yote

    Usimalize maneno mkuu weka akiba kuna kesho...kwanza huku nilipo mimi umeme ulirudi toka jana alasiri ukaja kukatika usiku wa saa moja na ukarudi baadae umekuja kukatika tena asubuhi hii mpk sasa hivi haujarudi weka akiba ya (maneno)
  3. chrisbleez

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Mkuu nadhani muuliza swali sio mpuuzi anahoja na anahitaji kujibiwa na sio kumkashifu. Kwa aina hii ya ya majibu hapa ndipo waislamu mnapo dharaulika elimu akhera imewatawala kuliko elimu Duncan.
  4. chrisbleez

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    Pole mkuu!unatakiwa uwache kazi ufanye kazi kwenye swala la pesa upole uweke pembeni unatakiwa uwe na roho mbaya omba likizo isiyokuwa na malipo na uwanze kuzunguka kufuatilia haki yako lakini uwe na ushahidi vinginevyo atakugeuka vibaya na usiwe na la kumfanya.
  5. chrisbleez

    Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

    Binafsi nimesoma kule miaka ya tisini mwishoni mpk elfu mbili mwanzoni ni kweli hata sisi kwa miaka hiyo tulikuwa tukisikia hayo mambo hivyo inawezekana kweli kukawa kuna ukweli wa hilo na ukizingatia haya mambo ya mahospitali na mambo ya kishirikina ni mambo yanayokwenda sambamba Nb.Nashukuru...
  6. chrisbleez

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Mkuu mimi ni mkatoliki na ni kiongozi pale kanisani ni kweli kanisa katoliki lina mifumo na utaratibu wake tena mzuri sana ndio maana mmeambiwa hata iyo katiba mnayo tumia ni imetokana na kanisa katoliki. Lazima ijengwe nyumba ya Padres eneo la kanisa nasisitiza lazima sio ombi na pili ni kweli...
  7. chrisbleez

    Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

    Unaoneka huwa unapishana na mengi...labda nikusanue tena kuna channel ya TNT 137 humo ni full action njoo na 113 na ukitaka series za kiswahili njoo 140
  8. chrisbleez

    Bila shaka huu siyo msimamo wa TBC

    Ulitakiwa kuyaweka wazi hayo maneno kwa kuyaweka kwenye mabano
  9. chrisbleez

    Customer support ya Azam TV ni ovyo sana

    Kama upo dar kibebe hicho kisimbuzi na uwende nacho moja kwa moja pale buguruni watakurekebishia mkuu other wise fata ushauri wa mjumbe pale juu nunua dish la DSTV kama bajeti ipo vizuri.
  10. chrisbleez

    Pumzika kwa amani rafiki yangu na pole kwa familia nzima

    🤣🤣🤣hii ndio jamiiforum bwana
  11. chrisbleez

    Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Niliandika nikafuta mara3 lkn kabla sijakujibu naomba kutambua umri wako kwanza? Kitu kingine punguza mihemko katika kuandika,jifunze kuandika kwa kutumia tafiti za kweli.
  12. chrisbleez

    Albums na hit songs za kwaya za kikatoliki

    Unawaaachaje kwaya ya makuburi na album yao ya mimina?🙄
  13. chrisbleez

    Hiki kifaa cha kuminya maji hapa chooni ni cha nini?

    Aisee![emoji1787]jamii forum imeingiliwa si utani haya mambo miaka ya nyuma hazikuwepo Sent from my SM-A336B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom