Recent content by chris01

  1. C

    Elimu ikiingiliwa na siasa hii ndiyo gharama yake

    Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo- Arusha 1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si Mkurugenzi wala Mkuu wa Wilaya anaweza kuteua, kutengua au kuvua madaraka ya waalimu wakuu wa...
  2. C

    Mrisho Gambo na Mkurugenzi wa jiji walitoa takwimu za uongo kuhusu wanafunzi hewa

    Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo- Arusha 1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si Mkurugenzi wala Mkuu wa Wilaya anaweza kuteua, kutengua au kuvua madaraka ya waalimu wakuu wa...
  3. C

    Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo- Arusha

    1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si Mkurugenzi wala Mkuu wa Wilaya anaweza kuteua, kutengua au kuvua madaraka ya waalimu wakuu wa sekondari. Wakuu wa sekondari na msingi ambao wanatuhumiwa kuwa na...
  4. C

    Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo-Arusha

    1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si Mkurugenzi wala Mkuu wa Wilaya anaweza kuteua, kutengua au kuvua madaraka ya waalimu wakuu wa sekondari. Wakuu wa sekondari na msingi ambao wanatuhumiwa kuwa na...
  5. C

    Simbachewene amerogwa na nani?

    Mbona watanzania wanastaajabisha, Mfumo ule ule alafu mnatarajia matokeo tofauti? Hayo ndio matokeo
  6. C

    Je! huyu ni team Lowassa?

    Ninaamini Siasa si Uadui na kuwa na urafiki na Mtu si lazima kukubaliana nae kila kitu asemacho. Naomba wanajanvi mniambie wanasiasa hawa wakongwe ni kweli lazima wawe team ili nchi iendelee kijamii, kiuchumi na kisiasa?
  7. C

    Je! huyu ni team Lowassa?

    Ninaamini Siasa si Uadui na kuwa na urafiki na Mtu si lazima kukubaliana nae kila kitu asemacho. Naomba wanajanvi mniambie wanasiasa hawa wakongwe ni kweli lazima wawe team ili nchi iendelee kijamii, kiuchumi na kisiasa
  8. C

    James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

    Moshi mjini, moshi vijijini, siha, hai, vunjo nani mbunge. Mbona nyie mnaona demokrasia ni kudhulumu kwa wengine yakwenu yenu tuu?
  9. C

    Bila ushabiki James Ole Milya ndie chaguo la wana Arusha Mjini

    ni mawazo au fikra zipi Lema amewahi kuwasilisha Bungeni kuhusu arusha bungeni? Wenzake kina Mnyika wanashusha Nondo za maana yeye kazi kuomba milango ifungwe tupigana, mkuu si kweli mabalozi hukusanya kodi.
  10. C

    Bila ushabiki James Ole Milya ndie chaguo la wana Arusha Mjini

    Wadau tusibeze elimu za watu, elimu ni muhimu, ndio maana nimesema mara kwa mara Lema na Vibaraka wao Mnaamini katika propaganda si ualisia, embu tuambie ni nchi gani imeendelea kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa kuwa na watu wasio na elimu? Kama hujabahatika kusoma usidharau Aliyesoma ukidhani...
  11. C

    Bila ushabiki James Ole Milya ndie chaguo la wana Arusha Mjini

    jamani kwanini wengi hatujazoea kusema ukweli, unajua wanasiasa wengi wametulelea katika uongo na uhuni, watanzania nao wakiona tofauti hawapendi, Leo Arusha Mjini inahitaji Mtu mwenye Tija na Kiongozi wa karne ya 21, tukiendelea na Wahuni wa aina ya Lema na vibaraka wao hatutailetea maendeleo...
  12. C

    Bila ushabiki James Ole Milya ndie chaguo la wana Arusha Mjini

    Wana Jamvi ninaomba kuwasilisha hoja chache kuhusu James Ole Millya, si vema tu kuzungumzia ubaya wa mtu nimeona niwaletee machache sana kuhusu kamanda huyu nanyi mtoe maoni yako. Elimu- Masters of Law (LL.M) kupitia elimu yake amesaidia watanzania hasa wa jamii yake kutambua sheria na namna...
  13. C

    James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

    kwa hoja ya uchaguzi wa serikali ya mtaa Millya hawezi laumiwa, mbona meru, korogwe, same, mheza pingamizi zilikuwa nyingi je huko nako millya alihusika? acheni siasa Butu, Lema asidhani yeye ndio Chama, Wanachama ni wananchi wamemkataa Lema hatoweza kushinda kwa wapuuzi wa JF
  14. C

    James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

    Lema amesha prove failure kwenye Ubunge wake hata nyie Wahuni Mkimtetea wanaarusha wanajitambua na wataamua kwa kura, mitandao haitamsafisha yule hafai ki uongozi. Aendelee na Ubaguzi na siasamamluki kama ndio itampa Ushindi
  15. C

    James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

    Kimsingi Millya amefwatwa na wanaarusha, madiwani, viongozi wa chama na wanchama wa chadema wakimwomba agombee ubunge, kwa kuwa Lema ameshajeruhi wengi, amewatenda wengi hasa umma wa wanaarusha, sidhani inahitaji degree kujua Lema ni mhuni, tena asiye na shukrani, Lema hajawahi kutoa msaada kwa...
Back
Top Bottom