Recent content by Chozizwa2020

  1. Chozizwa2020

    Gumzo Mitandaoni: Tangazo la Kibaguzi la China kwa Jamii ya Kihindi

    Mkuu, huyo akaitwa Mzee wa kupambana, hivyo mpotezee tu.
  2. Chozizwa2020

    Gumzo Mitandaoni: Tangazo la Kibaguzi la China kwa Jamii ya Kihindi

    Mkuu, hata hapa ndani ya TZ ubaguzi upo! Hapa tunazungumzia ule ubaguzi mkubwa uona athiri utu wa mtu. Watu wa Bara la Asia, wanaongoza kwa ubaguzi hapa DUNIANI, wengine wafuatia.
  3. Chozizwa2020

  4. Chozizwa2020

    Tundu Lissu: Wale wabunge 19 wasio na chama wamelipwa tsh 8 billion kwa miaka 3, tulifikiri ni Wabunge wa Magufuli kumbe ni wa Rais Samia!

    Mkuu amemalizia kwa kusema "hakuna maridhiano bila ukweli na kufuata sheria" au wewe unafikiriaje?
  5. Chozizwa2020

    Uchambuzi na Marekebisho ya Rasimu ya Mtaala wa Elimu: Kuondoa Mambo ya Dini na Masuala Mengine ya Kukinzana na Katiba

    Mkuu kuna masomo mengi ya kufundishwa; badala ya elimu za dini, wekeni masomo kama "somo la madini" kwa vile Nchi yetu tumezungukwa na madini mengi, somo hili litawapatia watoto wetu elimu na ufahamu mzuri wa madini yetu toka elimu ya msingi. Nashauri elimu ya madini na sio dini.
  6. Chozizwa2020

    Uchambuzi na Marekebisho ya Rasimu ya Mtaala wa Elimu: Kuondoa Mambo ya Dini na Masuala Mengine ya Kukinzana na Katiba

    Mkuu kweni ninyi wenye Dini si mna mashule yenu ya Dini., si mwende mkafundishane huko. Ziachwr shule za umaa zifundishe mambo yake.
  7. Chozizwa2020

    Eti hawa ndio Wabunge wanaowakilisha wananchi? Wana mkwamisha mtetezi anayejitokeza!

    Mkuu ngoja nisubili kwanza niwa some wafugaji wenyewe, nisiwe kiherehere
  8. Chozizwa2020

    Raia Mwema: Kampuni ya Yono yapigwa stop kuuza mali za Musiba

    Mkuu, kwa nini sasa hili suala limekuwa siri, wakati lilikuwa jambo la wazi? Kwa mantiki hii, huoni kuna ubaguzi kwenye sheria zetu?
  9. Chozizwa2020

    Raia Mwema: Kampuni ya Yono yapigwa stop kuuza mali za Musiba

    Mkuu, sasa hapo nani yupo above the Law?
  10. Chozizwa2020

    Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Mkuu ukifuga nguruwe anakutoa kwenye umaskini, maana uzazi wake ni wa watoto wengi na ukifanikiwa kuwatunza una uza kwa bei mzuri.
  11. Chozizwa2020

    Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Nakubaliana na wewe Mkuu, na hayo mabadiliko yametokana na climate change. Hivyo ni halali kwa wote.
  12. Chozizwa2020

    Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Mkuu fafanua; uongo ni upi na umbea ni upi?
Back
Top Bottom