Recent content by Chozi Jeusi

  1. C

    Jamani nisaidieni hili

    Jamani nilitaka kujua je inachukua mda gani kupona baada ya kutahiriwa kwa kijana? Naomben mnisaidie kwa hili.
  2. C

    Kupi kuna faida zaidi jamani?

    Eti jamani, kupi kuna faida zaidi kati Electonics na Electrical engineering?
  3. C

    Je, ni kweli jamani?

    Jamani eti ni kwel alama za ufaulu zimepanda kidato cha sita? na kama zimepanda basi naomben arrangement zake jins zilivyo.
  4. C

    Jamani namtafuta

    Jaman mm ni mvulana mwenye umri wa miaka 22 nipo kidato cha sita. Namtafuta msichana ambaye anaweza kuwa girlfriend wangu mwenye umri kat ya miaka 19-22 kama yuko tayar naomba anindikie namba yake ya simu.
  5. C

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    nimewasoma wakubwa.
  6. C

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Je, kuna madhara yoyote unapopiga punyeto?
Back
Top Bottom