Recent content by chovyachovya

  1. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware kwa 13M

    hello habari, je unatemea inaweza kukaa vizuri baada ya muda gani? 3-5 years? mimi nategemea kufungua bunju ila pembezoni kidogo hamna watu wengi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Napat Napatikana dar karibu pm kwa mawasiliano zaidi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Wote watamu, tofauti ni kwenye ukuaji. Mbegu zetu za tanzania tumeziharibu kwa kupandisha mf. baba na mtoto ambayo haitakiwi kabisa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Si rahisi hasa kwa mbegu zetu hizi za tanzania. Ki kawaida mbegu zetu zinakua kama ivoonyeshwa kwenye picha
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Unadhani niwauze bei gani chief. Im open to recommendations
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Karibu pm mkuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Hahaha naam
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Napatikana dar ukipenda kuona karibu kwenye pm tuwasiliane
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wanauzwa

    Nguruwe miezi 3 wapo 9 na wengine miezi 4 wapo 10 wanauzwa. Bei ya mmoja wa miezi 3 ni elfu 65 ya miezi minne ni elfu 90. Karibu inbox
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake hupenda kuvaa nguo fupi?

    Kuna watu wanajibu swali na kuwachukulia wanawake kama sexual objects. Kwanini siku zote tatizo ni kwa mwanamke? Kwann mwanamke ajishushe ili mwanaume aweze kuwa comfortable au aweze kuishi kwa raha? Mwanamke yeye hawezi kuwa free na mwili wake? nguo zake? Kwasababu anamkwaza mwanaume?? Mbona...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jengo lililoko soko la kinondoni lateketea kwa moto

    Kuna waliojeruhiwa?poleni sana
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jengo lililoko soko la kinondoni lateketea kwa moto

    Kuna waliojeruhiwa? Poleni sana
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro na Iringa, mkoa gani upo mbele kimaendeleo

    Iringa ipo juuuu
Back
Top Bottom