Vizuri mkuu swala la ngoswe humalizwa na ngoswe mwenyewe nini maana yangu wana ndoa ndio wenye majukumu ya kupanga kipi kiwe na kipi kisiwe hivyo kuhusu kuzaa au jambo la watoto wote wanapaswa kujadiliana ndani ya ndoa na kukubaliana kulingana na uchumi mlio nao.
Kaka hiyo tamaa tu usije ukasababisha migogoro ndani ya nyumba ukataka tena ushauli wakati wewe ndo chanzo achana na hizo kitu mpende mkeo na umvumilie hadi pale atakapo rejea home.
Pole sana mkuu uamuzi ulochukua simbaya lakini msamee mkeo mlee watoto coz watoto wataishi pasina furaha ikiwa mama yao hatakuwepo nyumbani kama vip huyo mtoto akikua umri furani mkeo ampeleke mtoto kwa baba yake.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.