Recent content by Chorter

  1. Chorter

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    A5B4739 bp
  2. Chorter

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe achague kulazimishwa na Mahakama au kutoa kwa hiari taarifa na matumizi ya pesa za umma mradi wa BBT

    Sio kwa ubaya kama unavodhani, mimi nina heka 2 ambazo nimeweka miundombinu ya umwagiliaji drip, najua gharama zake zipoje kwahiyo ni jambo zuri ukifanya utafiti kwanza ndipo uandike
  3. Chorter

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe achague kulazimishwa na Mahakama au kutoa kwa hiari taarifa na matumizi ya pesa za umma mradi wa BBT

    Upo sahihi sana. Lakin umefanya reseach ukajua gharama ni tsh ngap kwa hilo eneo ? No research no right to talk!
  4. Chorter

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa tangawizi

    Muhimu uhai 🙏🏿
  5. Chorter

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa tangawizi

    Habari wanaJF, kutana na wasambazaji na wakulima wakubwa wa zao la TANGAWIZI kutoka rungwe- mbeya, tunajihusisha na kutoa huduma ya usambazaji wa TANGAWIZI kwa wafanya biashara kutoka seheme mbalimbali Tanzania bara, Tunatuma mzigo kiasi unachotaka kwa haraka na uhakika mkubwa, Pia tunatoa...
  6. Chorter

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

    Zitto saiz ni miongon mwa wanasiasa wanaohaha, sera zake hazina version, tangu kifo Cha mzee, mambo mengi yanadelay sana, kuanzia miradi yamaendeleo iliyokuwa inaenda kwakasi kubwa saizi imekuwa slow sana, na icho ndo kitu kilichofanya mirad ya umeme mingi ikwame kukamilika Kama matarajio...
  7. Chorter

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Hii nchi n ngumu sana, muungano unatudhoofisha sana watu wa bara, haiingii akilin kugawa nafas za ajira pasipo kuzingatia idad ya watu, ata wangewapa wazanzibar 1% bdo kwenye ratio wao ndo wangekuwa wamenufaika Zaid, sasa hizo 21% n nyingi mno, muungano gani ambao unabeba upande mmoja, kule...
  8. Chorter

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Uongozi na usimamiz n mbovu icho ndo chanzo kikubwa, yaan baada ya kupiga hatua kwenda mbele sasa nchi imeanza kupiga hatua kurud nyuma tena kwakasi kubwa, saizi tatizo la mgao wa maji mzee ashalimaliza kwazaidi ya 90%, baada ya mda mfupi tu tayari tumerudi kweny 10%,
  9. Chorter

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mawakala wa tangawizi kwa bei nafuu sana

    0743575896
  10. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Shukran sana kiongozi, nimekuelewa na nitafanya marekebisho, ahsante!
  11. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Mwanzoni wakati naanza sikuwa na mtaji wakutosha kwahiyo shughuli nyingi nilikuwa nazifanya mwenyewe, Mf; kulima na kupalilia, ila kwasasa huwa nashirikisha vibarua baadh ya majukumu kama mwaka huu wakati naandaa(kulima) shamba nilitafuta vijana 3 me nkawa wa4 pia nategemea kusaidiana na...
  12. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Shukran sana 🙏🏿🙏🏿
  13. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Asante sana kiongozi 🙏🏿
  14. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Asante sana kiongozi 🙏🏿
  15. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    🙏🏿🙏🏿
Back
Top Bottom