Cdm wameingia kwenye mtego kirahisi mno
waamini wasiamini swala hili litawaathiri pakubwa sana kimahesabu ccm madhaifu ya udini, ukanda,uchache wa fehdha nidham mbovu za wanachama Kwa viongozi na uropokaji ovyo wa viongozi wa sasa wa cdm
Ccm itayafanyia KAZI madhaifu haya na kuimaliz cdm...
Kwa maadili ya siasa za kitanzania hawafai
Kwasanabu wao wamewadanganya wanachama kupita upole wa mbowe kumbe walikuwa na kosa la kula njama la kumpindua mbowe kosa hili chama kinojielewa halivumiliki Kwa kosa hili mbowe halaumiki kukataa TAL kwasanabu iliishaonesha udhaifu hastahik hata...
Sikubaliani na eti TAL atapotea kisiasa akitoka cdm akubali kusajili chama km zito asije kibali kuingia chama kingine Cha upizani huo itakua mwisho wa kisiasa lkn anzishe chama aachane na kikoba Cha wachaga
Watanzania ni watu wa ajabu sani ukiangalia kiundani Hali swala wengi wanaliangalia Kwa mitazamo ya kisiasa zaidi lkn serekali Hali swala hawatk kuliingia Moja Kwa wanajua baada ya kupitishwa tu kunachangamoto zitajitokeza Kwa hatua ya kwanza wanaangalia kujiridhisha ndani ya kipindi Fulani...
ww kichwani mwako hamna kitu wahusika wanajua nn wanacho kifanya km hujui uliza wanao jua chuki hazi saidii kitu bibilia mliharibu wenyew kila siku mnaleta maboresho waislam kwao halipo hlo wameshaona athari zinazo jitokezo kwa waumin wakristo wengi hawaijui bibilia hata hio misingi yk waumin...
Bila shaka uko sahihi watanzania wengi wanapenda sifa za kijinga/uchawa kwa maana kifo cha m/nchi wakawaida hawaulizi kwann amezkwa sehem fulan lkn wtu maarufu wana maswali kemkem mm nililiona hilo kifo cha mzee mwinyi , hatupendi kuheshim mawazo ya familia ya marehm kuamua wp azikwe mpendwa wao.
Nadhani ni mwendolezo za chuki za udini lakini baada ya miaka 20 ijayo hatokua na nafasi ya kueleza chuki za udini tena kwani vizazi vyao vimeamka kwa speed sana
Katika uislam hamna mambo km hyo sadaka yk ukitoa inatumika kwa maghitaji ya kila siku ya msikiti na ndio mana wanamsemo ukiristo biashara lakini mnaanza kujua ukweli kadiri siku zinavo songa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.