Recent content by choolocholo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwahali hii TFF ijitazame sana la sivyo ligi kuu ya Tanzania haina hadhi ya kuitwa ligi bali ni kichekesho tu na kuibua malalamiko yasiyo na tija.

    Mm nadhan hapa tusizngumzie usimba n uyanga,TFF wanamatatz sana,ligi mbovu n utawala mbovu....basi wanashindwa hata kukopi kwawenzetu kenya au uganda? Kabla ratiba kupangwa z ligi zote africa kwnz CAF wanatoa ratba yao,so kwnn wasiiangalie ratb y CAF ilvyo ndo wakapanga nawao ratba yao.. Shame...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hodi ii wana jamii forum

    Member mpya naomba ushirikiano wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Jaman naomba kuuliza maswali yafuatayo ,naomba anaejua anijibu.. 1.kwanani nafasi za kazi ya usalama wa taifa hazitangazwi? 2.na vipi mtu anaweza kuajiriwa kuwa usalama wa taifa?
Back
Top Bottom