Haya makampuni ya barabara and the like ni sawa, hata Membe akiwafuata uko China kwenye maofisi yao kuwapa viza ni sawa tu. Tatizo langu ni hawa wawekezaji wadogo wadogo wa kichina,kwa mafano wamachinga au kama "NI MTAZAMO TU" alivyosema mention hapo juu, wapo pia kwenye biashara ya...
Ni sehemu gani kwenye posts zangu zimekupa impression nipo Chumbageni? Kama ningekuwa Chumbageni isingenipa tatizo kuandika hivyo kwa sababu sidhani watu hapa wanachangia kwa sababu mwanzisha thread yupo sehemu fulani. Angalia thread nyingine na utaelewa ninachosema.
ME sio machines na magari, ni very broad field, ukiangalia karibu vitu vingi ninavyokuzunguka mechanical engineer wamehusika kwa kiasi fulani kudesign.Kwa mfano switch ya umeme "on and off" button ni ME, robot, injection molding systems,computer keyboard ni ME hata kwenye Oil and gas wana play...
Hivi hakuna visas restriction kwenye employments?! Ni kitu gani kinawashinda uhamiaji kuweka vikwazo kwenye kazi zinazoweza kufanywa na watanzania wenyewe? Rate of unemployment is very high Tanzania, vijana wenzangu wamemaliza chuo kikuu lakini wapo vijiweni kutokana na uhaba wa ajira, halafu...
Mkuu, Jitahidi kufungua garage ndio italipa vizuri.
Ukiwa na muda karibu kwenye hii thread kutoa mchango wako kuhusu kozi za engineering:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/650550-which-engineering-field-has-the-best-scope.html
Ni kweli mkuu,
Kuna watu kutokana na wameishi nje nchi kwa muda mrefu wanasomea kozi zinaendana na mazingira yaliyopo wakirudi nyumbani wanakuta mabo ni tofauti kabisa.
Inspection,testing, wiring installation huku zinafanywa na wahitimu wa vocational college. Kama una degree ya EEE na unataka kuwa electrician, ilikupata kazi kirahisi inabidi usome tena vocational courses ambazo employers wengi wanapendelea vyeti vyao kwa sababu wanakuwa wamefuzu zaidi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.