Yani siri kuu ya kufaulu Written Interview za TRA kuajiri wenyewe katika Position ya TMO, ni kujipika na Public Finance & Taxation (B4), Advanced Taxation (C4), pamoja na kusoma Tax Acts kama VAT Act, Income Tax Act, na Tax Administration Act. Baada ya hapo ingia kwenye pepa Yao. Tena hasa hii...