Recent content by Cholowao

  1. Cholowao

    Muliro: Polisi haipingi watu Kuabudu katika maeneo yao rasmi kisheria

    Awe muislam au sio muislam, kuingia barabarani ni kosa la kisheria. Unahisi kwa sababu ni wakiristo ndio wana special previligies? Hakuna kusali barabarani kwa kupiga kelele na kuanzishwa vurugu
  2. Cholowao

    Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

    Vidume IDF wakiona Hamas wanajikojolea. Wanaua tu watoto na wanawake. Mtoto mmoja vs "vidume 10 wenye silaha" labda vidume viliku....
  3. Cholowao

    Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

    Jamaa linapropaganda. Kiss bibilia imesema Israel ni watu wa Mungu linakua ni Israel Hawa wauaji. Linaanza kuwapigania. Wakati Israel wao wanawatemea mate mapadre wa kiafrica, kuwatoa vizazi wa Ethiopia na pia na kuwafananisha wa Africa na manyani. Akiambiwa Israel ni taifa LA Mungu hata...
  4. Cholowao

    Mama Akiondoka, yupo atakayerithi mikoba yake?

    Kama huwezi kununua tulia. Wacha wenye uwezo wanunue watuletee maendeleo
  5. Cholowao

    Mama Akiondoka, yupo atakayerithi mikoba yake?

    kwanini hukuinunua wewe bandari, au we mwenyewe ni kapuku kama mimi
  6. Cholowao

    Mama Akiondoka, yupo atakayerithi mikoba yake?

    Ni kweli kabisa ndugu, hapa nimejifunza jambo, nimepata amani ya moyo kwamba Mungu yupo atatuletea Rais mwengine mzuri, ni yeye tu wa kumtegemea, hata kama Rais ni bora vipi, tunatakiwa tumtegemee Mungu kwa sababu hata hao marais bora tunao wasifu hawachoki kutuambia Mungu ndiye wa kutegemewa...
  7. Cholowao

    Mama Akiondoka, yupo atakayerithi mikoba yake?

    Nilidhania wewe ni "mpinga maendeleo" kwa sababu wale wenzetu wa peoples power ✌ kwenye hoja kama hizi, hakuna mwenye uwezo wa kutoa comment kama hii, ukisoma comment zote ni matusi na jazba.
  8. Cholowao

    Mama Akiondoka, yupo atakayerithi mikoba yake?

    Either umeunga mkono au umekataa hoja, ila hii comment yako ina mashiko makubwa, na ni ukweli mtupu, asante ndugu!
  9. Cholowao

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Inawauma. Inawachoma. Nahisi ni wakiristo ndio wana chuki mama kuja tanga. Walitaka aende Rombo ba Moshi 😆😆 si mumuweke raisi mrombo kama vipi
  10. Cholowao

    Mama Akiondoka, yupo atakayerithi mikoba yake?

    Mama Samia: Kiongozi wa Maendeleo, Je, Atakuwepo Mwingine Kama Yeye? Nimekaa nikatafakari kwa kina kazi nzuri anazofanya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa muda wake madarakani, tumeona maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali kama elimu, afya, na uchumi. Hospitali mpya zimejengwa...
  11. Cholowao

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    😅😅😅😅😅😅😅😅 bro Nina hasira lakini nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  12. Cholowao

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    😅😅😅😅😅 vijana tutafute pesa. Sema wakristo sio kabisa watu wakuishi nao ni watu makatili na wenye chuki sana hawa viumbe. Mimi nimekata biashara nao na pia nimewablock wote. Sijaona watu wenye roho na chuki mbaya kama hawa. Ukimuona nje ana bashasha ila moyo umejaa damu na chuki
Back
Top Bottom