Recent content by choggysly

  1. C

    Ukweli kuhusu Afisa Utumishi Halmashauri Nzega

    gwataimba uko sahihi huyu jamaa kwanza hata mitandao hana habari nayo hajui facebook jf wala twiter na sio mtu wa kujihusisha na mitandao ye ni mtu wa magazeti tu na mtu wa watu ukiwa nae nje ya ofic huwez jua kama ni afisa utumishi..hii ni story ambayo imeundwa kumchafua lakin bahat mbaya au...
  2. C

    Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

    hii ni vita ambayo kiutendaji italeta madhara makubwa sana kama wahusika wasipochukua nafasi ya kukaa na kujadiri kuhusu utaratibu mzima wanaouunda ni maswala yanayozungumzika kama vile ambayo huwa wanaweza kusolve maswala mengine ya kiutendaji...naamnin wote no oveage hapo so kaeni chini oneni...
Back
Top Bottom