Recent content by CHOCOLATE FLAVOR

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania

    hizo zote ni propaganda, chadema ndio mmelewa siasa hata kwenye mambo ya msingi na uzalendo. somebody should wake tundu lissu up naona amelewa madaraka na siyo rais.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wakina Tundu Lissu na TLS yao waonywa Kuhusu Mgomo, wajiandae kujibu Mashitaka

    "mtu yeyote mwenye taarifa yoyote kuhusu tukio hilo, anatakiwa kuzitoa polisi badala ya kuzungumza na vyombo vya habari." LISSU NI ACCACIA NA ACCACIA WANASIMAMIWA IMMMA ADVOCATES na hao hao advocates ndio wanaomsaidia lissu kwenye kesi zake... za kuambiwa changanya na zako? ACHENI KULETA...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Maduka mengi ya wahindi hayatumii EFD'S

    wafungiwe hao
  4. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapaswa kuwa na wataalam wa mambo ya kitaifa sio akina Kubenea, John Mrema

    tunahitaji wasomi sio wanasiasa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dr.Kigwangalla: Ukiwa hujui Sayansi unaweza kudhani mkojo hauna uhusiano na vitendo vya Uchochezi

    wapimeni tuu wote wshasema wakipewa nchi watahararisha bangi
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Star TV: TRA mmekosa weledi, yastahili ivunjwe

    lete evidence maana naona hoja zako zinamuhemko tuu!!!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta Hoima to Tanga, matarajio makubwa ni kujidanganya

    kwani ni lazima kila kitu mkosoe? hata rome haikujengwa kwa siku moja!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CUF wamepigana Mahakama Kuu ya Tanzania DSM

    wapigane tuu wanaonyesha udhaifu wao
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania wakihangaika kumsweka lupango, nchi za nje wamtambua Lissu kama shujaa duniani

    basi wamchukue akafanye kazi kwao kama ni wathamani sana
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini wajumbe wa majadiliano na Barrick kutoka Tanzania imekuwa siri nzito?

    hawawezi kutajwa mnataka wakanunuliwe.
  11. C

    JamiiForums Tanzania LHRC kimya Mbowe akamwita Waziri Mwijage 'mediocre'mbele ya waandishi wa habari. Ni sawa?

    yule bibi sio mzima kabisa ...atakuwa anamatatizo upstairs mbona hajatoa tamko kwa mtoto nora aliyejinyonga ... ila angekuwa mbowe na machizi wenzie wametukanwa ingekuwa nuksi.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Diallo amesema hawezi kuwalaumu TRA kwa Kufunga shughuli za Sahara Media

    yuko vizuri mzalendo huyoo na angekuwa chama fulani wangesema ameonewa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai ataka wanaosambaza video ya mchele washughulikiwe

    hao wanarusha video waseme sasa kama kweli wanajali afya ya tanzania au ndio editing
Back
Top Bottom