Recent content by Chiya Chibi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa Bomoabomoa Heche Suguti 'apigwa kipapai'

    Wee kwanin usiitafute habari kamili ukatuletea ..?! Mnapenda kutafuniwa kila kitu, hujui gazeti linazwa..?! Nalaan watu kama nyie ...!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Xiaomi Redmi 2 prime

    Xiaomi Redmi Note 3 (Gold) Lenovo A7010. (black) Nataka mojawapo hapo, nipe bei zake...?!
  3. C

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Mwisho wa kuripoti ni J3, tarehe 23 ... Au muda uliongezwa ..?! Masomo yanaanza lini ..?!
  4. C

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Yeah Poa, kwahiyo nikiamua kuchukua chumba peke yangu au watu wawili inakubalika, ilimladi tuwe na hiyo 50..?? Nipe Contact zake au na wewe ni mmoja wetu ..?! Hiv pana umbali gan (km) kutoka Boko mpaka tegeta ..? Kwa kwenda huko, ukitoka Boko si unapita Bunju ndio Tegeta, Au ..?! nadhan mi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Unamaanisha LAKI TANO ..?! Ina vyumba vingap, mana hapo nadhan ni watu kuchanga tu, kuichukua yote kwa pamoja au auze chumba kimoja kimoja, kama ni hall lisilo na vyumba, atoe gharama ya mtu mmoja mmoja ...?! Vitanda, Meza ..?!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mashine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana

    Umeelewa alichouliza mwenzio, au umekurupuka tu .. Kwahiyo kama fundi wake anakaa South ndo asubiriwe miez miwili ..?!
  7. C

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Hata mi nashangaa, naona watu wapo kimya au furaha imewazidi ..?! Mana mihemuko ya kusubiria nafas ulikuwa juu sana Leten habari wazee, >Mnapokelewaje, nin kitu muhim zaid na cha kuzingatia, gharama muhim za usajir, masomo yanaanza lin ..?!
  8. C

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Kwahiyo kama mtu tayar anayo Account NMB hamna haja ya kufungua nyingine ...!!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science ni clinical medicine!

    Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi Pitia hapo, nadhan utapata majibu ...!!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Yap, umeelezea vizur mkuu, nimewah kuiona kwenye ngaz nyingine pia kwa watu walioanzia Diploma kwenda degree, mishahara yao huwa hivyo ingawa kwa hapa sina uhakika mana nchi yetu nayo huwa inakizunguzungu linapoanzishwa swala jipya ...!! Napenda kujua ni Masters zip ambazo MD ataruhsiwa kwenda...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Yap, Ni kweli uamuzi ni wake, hilo la AMO, Ili ukasome amo ni lazima uwe c.o, huwezi kutoka form 4 au 6 ukaenda AMO moja kwa moja labda kama kuna utaratibu mpya siku hizi ..
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Yap Lakin hilo la kuikosa Surgery unalionaje
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Internal medicine or general medicine (in Commonwealth nations) is the medical specialty dealing with the prevention, diagnosis, and treatment of adult diseases. Physicians specializing in internal medicine are called internists, or physicians (without a modifier) in Commonwealth nations...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Hujaeleweka kiongozi.. Mtu akimaliza BCM anaenda tena kusoma MD .?!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Okey Unamaanisha nin kusema C.O Wasio na uwezo kwenda MD ..?! PESA/GHARAMA, MUDA, au UFAULU WAO ..?!
Back
Top Bottom