Ndugu zangu wapendwa, nawasalimu kwa adabu na utii.Salamu zangu za dhati ziwafikieni ninyi nyote.Natambua majukumu makubwa yanayowakabili katika kujenga taifa hili changa ambalo limepata uhuru huvi karibuni.Nawapongeza wote mnaotumia muda wenu katika kuelimisha na kupasha habali kwa jamii...
tuseme yalio kweli, tuchambuwe yaliyo kweli. Ndoto ya mtu haina mipaka na wala hakuna mtu anayekatazwa kuota ktk mazingira yoyote. Kusema anandoto haijalishi inatoka upande upi wa siasa lakini ni ndoto yake kuwa ipo siku. kama ndivyo yote haya ya Babu asiye na fikira sahiii na aliyechoshwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.