Recent content by Chiulu

  1. Chiulu

    Kazi ya Mwakyembe yaanza kuonekana uwanja wa ndege Dar

    "Kila mtenda mema malipo yake ni kwa Mungu", Biblia inasema Mtakalo lifungua Duniani na kwa Mungu litafunguliwa na kila mtakalo lifunga na Mbinguni litafungwa vivyo hivyo. Kazi hii anayo ifanya Mtumishi wa Mungu Mwakyembe ni dhahiri kabisa kwamba inabaraka za watu wengi ndio maana kila mmoja...
  2. Chiulu

    CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

    Hizo mahakama Jamani zina wataalam mbona mnataka kuwa waendesha Mashtaka kwani kesi zote za cdm lazima washinde tuwe wastaarabu Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
  3. Chiulu

    Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

    Hahaaaaaaaaaaaaaaaa kweli waungwana mmenena. Sikuhizihata hao Majenerali hawataki watoto washiriki vitan hata kwenda kulinda Amani huko Somalia na kwingineko. Na lilelile alilo likataaa Mwalimu ndo linatoke kwakusomesha watoto wao Ulaya huku watoto wa Makabwela waki saga jua na Mvua huku...
Back
Top Bottom