Utamtuhumu kwa lipi rostam badala ya kuituhumu serikali ya nchi yako?. Rostam sio rais wala waziri au mbunge anahusika vipi na madudu ya serikali?
Rostam ni mfanyabiashara na kanuni ya biashara ni kupata faida. Kama anapendelewa na serikali kwanini usipambane na serikali yako?
Mtu ameajiri...
Binafsi siamini dini ya mtu ina mchango katika kuboronga kwake kwenye uongozi bali ni tabia na hulka ya mtu binafsi.
Mtu kama kassim majaliwa, profesa janabi, bashiru ally, sidhani Kama wana tuhuma za ufisadi.
Lakini Mimi naamini kuwa Kama Kuna kitu kinaweza kuwa msaada basi ni mifumo imara na...
Hicho kitu hakipo, nani alikuambia kuwa kuna kupokezana kwa kuzingatia dini hizo?
Hii imetokea kwa bahati mbaya tu hapa tz: nyerere(mkristo), mwinyi(muislamu), mkapa(mkristo) jakaya(muislamu), magufuli(mkristo).
Kama ccm ingekuwa na utaratibu kama huo basi fomu zingekuwa zinagawiwa kwa watu wa...
Ni kweli kabisa, kama mpendwa wetu aliuawa basi vyombo vinavyohusika na ulinzi wake ndiyo vinatakiwa vitueleze vizuri walikuwa wapi wakati hii hali ikitokea.
Inawezekana hao watu wanaotajwa ni kuwaonea tu maana Kama unaushahidi uliotimia upeleke
Nyerere alitaka kuiondoa hiyo hali kwa kumshawishi Salim Ahmed Salim achukue fomu baada ya mwinyi, bahati mbaya hakushawishika. Hayo ni maneno ya jk.
Lakini je ni kweli upande wa pili yaani wakristo wangelipokea hilo kwa moyo kunjufu ukizingatia tulikuwa tumetoka kwenye utawala wa mwinyi ambaye...
Hapana, hata kunijua hanijui ila hata kwa kutumia akili za kawaida tuu hili Jambo sio rahisi.
Katika namna nyingine hizi ni dharau kwa wanaccm na mwenyekiti eti mstafu mmoja anaweza kuweka mwanae kuwa kiongozi bila ridhaa zao.
Acheni kumchafua mzee jk
Hapana, hata kunijua hanijui ila hata kwa kutumia akili za kawaida tuu hili Jambo sio rahisi.
Katika namna nyingine hizi ni dharau kwa wanaccm na mwenyekiti eti mstafu mmoja anaweza kuweka mwanae kuwa kiongozi bila ridhaa zao.
Acheni kumchafua mzee jk
Inawezekana kwa wale wenye uelewa Ila miaka ya nyuma kidogo kuuvunja muungano ndiyo ilikuwa turufu ya chama cha cuf, enzi za maalim. Na ulikuwa ukiwasikiliza walivyo na chuki dhidi ya muungano mpaka unajiuliza kwanini sisi wa bara tunaulazimisha hiki kitu wakati wenzetu hawataki
Sijui kwanini watu wanamuona kikwete anaweza kufanya lolote kwenye uongozi wa nchi hii.
Lengo hasa ni nini? Kama alishindwa kumuweka mtu wake kipindi akiwa rais atawezaje sasahivi akiwa mstaafu!!
Acheni kumzushia mzee wa watu hana nguvu hizo na hata kama ikitokea binafsi siwezi kuamini kama ni...
Zile kelele zilizokuwa zinapigwa na wazanzibar sasa wanapiga watanganyika.
Kwa taarifa yako muungano tunaulazimisha sisi watanganyika, wazanzibar wanaona tunawachelewesha kuendelea kutokana na huu muungano.
Uzuri muasisi wa utekaji alikuwa mkristo na ni kabila moja na gwaji boy lakini hata maneno hayakumtoka hapo ndiyo pana ukakasi na kila mmoja analichukulia kwa mtazamo wake suala hilo
Ila sio shida tunaamini roho mtakatifu kamrudishia macho ya kuona maovu
Chama kinatoboa bila wasiwasi ni wewe tu na ndoto zako zisizo na maana.
Kama kilishindwa kufa 2015 kipindi hicho late lowassa na membe wanamisuli yao sembuse sasa?
Nani wakuleta misukosuko hiyo kwa sasa Kama lowassa na membe walishindwa kuvunja chama? Ccm ipo Sana na itaendelea kuwepo na mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.