Recent content by chisugudi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Hata mwalimu nyerere alikipangia safu ya maraisi ccm km kumtosa JK, LE,MALECELA nk...ccm ikawa imara.Inakuaje mzee mtei aonekane tofautii? Au ndo mkuki kwa nguruwe eeeh!
  2. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ukomavu wa kisiasa na kistania

    Mtoto akinyea mkono huwezi kuukata so mi nadhani haina haja yakuoneshana ubabe maana macho yote kwawana CDM yako ZZK & CDM badala ya kuimalisha chama kwa ajili ya uchaguzi SM.... Wayamalize2 maana naamini kila upande unafahamu wapi wamekosea ila kwakuwa kila upande unahitaji kuonekana umeshinda...
Back
Top Bottom