Recent content by Chisoro wa chisoro

  1. C

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo Jumanne 25 Nov, 2014

    Ili kukomesha vitendo vya kuvujisha nyaraka za siri ni vyema mtu aliyetapanya nyaraka za taarifa ya CAG kabla ya kujadiliwa uaonyeshwe live na usiri ukizidi katika mambo ya kunusuru Taifa letu utatufikisha pabaya. Issue hii ni vyema ikajadiliwa ili kupunguza fresha za watanzania na hatua stahiki...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ikifika mwisho wa kikao cha bunge leo bila escrow scandal kuwekwa mezani, navunja tv yangu

    Kulingana na mwenendo wa maadili ya viongozi wetu, ni vyema Rais akachukua maamuzi magumu kwa walihusika na Escrow ikiwemo kurejesha mabillioni husika na kufirisiwa mali zote wanazozimilki huenda hazikupatikana ki halali.
Back
Top Bottom