Recent content by chipaga

  1. C

    Lowassa kusulubiwa vikali kwenye mdahalo

    Mbase1970 suala ni kutokuwepo kwenye debate!,aidha alikimbia au kuarisha ni maneno tu hayo,ishu ni kwamba hakuonekana ktk mdahalo!!.
  2. C

    Lowassa kusulubiwa vikali kwenye mdahalo

    Kushiriki mdahalo hakuna uhusiano moja kwa moja na uwezo wako wa kutekeleza unayoyaahidi,kumbuka kuongea ni talent,na si ya kila mtu!,KUMBUKA DAVID CAMERON WA WINGEREZA ALIKIMBIA MDAHALO UCHAGUZI ULIOPITA NS BADO ALIPITA KWA KISHINDO!.
  3. C

    Tabora TANESCO wamefaya yao ili tusiangalie bunge

    Hata huku Moro TANESCO wamefanya yao!, Bunge sasa ni kwa redio tena kwenye simu😊
  4. C

    Ubora wa simu za Huawei (P6 & P7) kuringanisha na Samsung Note 2, Note 3 na S4

    Samsung habari nyingine kaka!, kuilinganisha na huawei ni sawa kulinganisha beetle na benz!, kuwa specific ulnganifu huo niupi uutakao mkuu FEFEKA
Back
Top Bottom