kwa hili ambalo limetokea kwa mawazo, I will hate ccm & it's leadership to death. I don't need an evidence to blame them for am convinced may be behind the scene.
Pia sera ya majimbo itaondoa uwanzishwaji wa wilaya na mikoa kwa lengo la kujitafutia nafasi za utawala kwa watoto waviongozi na wale wanaojipendekeza kwao!
Tunashukuru kwa simu zilizojibiwa na walimu husika! Ni jambo la kushangaza kwa miaka minne shule haijawahi kupata walimu. Je walipelekewa mitihani wanafunzi wajibu nini? Wabunge wetu hilo hawalioni. Wanapotakiwa kujadili hoja za msingi wao wanasifia serikali yao na kumpongenza rais, kwa kipi?
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.